Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Kishaonekaba hadharani!Mwamposa alienda Jana kumuombea lkn bado Hali yake inazidi kuwa mbaya mno... TANZANIA tuna bahati mbaya sanaa, Djembi ndiyo anakuja kuwa RAISI?
Kishaonekaba hadharani!Mwamposa alienda Jana kumuombea lkn bado Hali yake inazidi kuwa mbaya mno... TANZANIA tuna bahati mbaya sanaa, Djembi ndiyo anakuja kuwa RAISI?
Kitakupata kilichompata makonda aliyetengeneza hiyo video.Yes,
probably mie mshamba sana gentleman,
nilishangaa sana askofu mzinzi anamtafuna kondoo wake alienona na kurekodi video ya kumbukumbu kabisa, nimeshangaa sana aise na ushamba wangu gentleman
hivi hua anawakataza na kuwakemea kundoo wake wasitafunane wenyewe kwa wenyewe?? Anaanzaje kwa mfano kama yeye mwenyewe anawatafuna vile?![]()
yaani kondoo atafune Gwajiboy, video atengeneze mwingine,Kitakupata kilichompata makonda aliyetengeneza hiyo video.
djembi yupo rukwa kwa shughuli ya mwenge, mjuba anapata heshima kubwa utadhani ndiyo prezdaa kabisa, mwigulu yupo huko pia kakaa pembeni kiitifakiMwamposa alienda Jana kumuombea lkn bado Hali yake inazidi kuwa mbaya mno... TANZANIA tuna bahati mbaya sanaa, Djembi ndiyo anakuja kuwa RAISI?
Sio kwamba tuna bahati mbaya....aliyemteua ameamua kutukomoa na anajuaMwamposa alienda Jana kumuombea lkn bado Hali yake inazidi kuwa mbaya mno... TANZANIA tuna bahati mbaya sanaa, Djembi ndiyo anakuja kuwa RAISI?
Wameamua kutoka wote nje !? Ili iweje!?djembi yupo rukwa kwa shughuli ya mwenge, mjuba anapata heshima kubwa utadhani ndiyo prezdaa kabisa, mwigulu yupo huko pia kakaa pembeni kiitifaki