The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
porno superstar anapiga mayowe
View: https://youtu.be/Bi8UXltxoD0?si=wk0aI5aNZvrS8yUVVery rhetorical statement kuhusu simulizi ya kihistoria iliyorekediwa katika Biblia yaani Neno la Mungu aliye hai kumhusu aliyekuwa Mfalme (Rais) wa Israel Ahabu..
Ilikuwa vile wakati ule. But it's very relevant to our nation or country's leadership situation today...
View: https://youtu.be/2E38RiuC-bk?si=OVPdxsZhKWtYOQci
Hapa JasusiTV anauliza swali relevant na statement ya Askofu Josephat Gwajima..
Shangilieni enyi mkaao katika nchi kwa kuwa wokovu na ukombozi wenu umewafikia..
Amina🙏🙏🙏
Amma? 😁 ... meno yote 32!😁😁😁😁
Mwenye roho mbaya hachekiAmma? 😁 ... meno yote 32!
Basi tu kupenda kubaya, lakini we kamutu una roho mbaya aisee!
😁 Usinichekeshe! Sio wewe unayemtwisha mzee mmoja, EVER SMILING, kila aina ya ubaya?Mwenye roho mbaya hacheki
porno superstar anapiga mayowe
kwahiyo alivyokua anakula yule kondoo wa bwana na kurekodi video namna alivyokua anamtafuna, alisema na mungu au miungu?
Porno?porno superstar anapiga mayowe
Ila ya mwigulu na yake tofauti ni ipi?porno superstar anapiga mayowe
kwahiyo alivyokua anakula yule kondoo wa bwana na kurekodi video namna alivyokua anamtafuna, alisema na mungu au miungu?
Itakuwa kuna kitu hakipo sawa jikoniMbona watabiri wamekuwa wengi siku hizi?
Hata kwa Jiwe waliibuka manabii wengi. Imagine hadi G.Lema nae alishusha liutabiri la kibabe kweli. Nchi hii😀Mbona watabiri wamekuwa wengi siku hizi?