Askofu Josephat Gwajima: Kitendawili - Tega; Kama utarudi salama kwenye hiyo vita, basi Bwana Mungu hakusema nami...!!

Kitakupata kilichompata makonda aliyetengeneza hiyo video.
 
Mwamposa alienda Jana kumuombea lkn bado Hali yake inazidi kuwa mbaya mno... TANZANIA tuna bahati mbaya sanaa, Djembi ndiyo anakuja kuwa RAISI?
djembi yupo rukwa kwa shughuli ya mwenge, mjuba anapata heshima kubwa utadhani ndiyo prezdaa kabisa, mwigulu yupo huko pia kakaa pembeni kiitifaki
 
Tabiri tabiri na code code zimekuwa nyingi sana, sie wa maporini mpaka tusome news alert/breaking news ndio huwa tunaamini ukweli
 
djembi yupo rukwa kwa shughuli ya mwenge, mjuba anapata heshima kubwa utadhani ndiyo prezdaa kabisa, mwigulu yupo huko pia kakaa pembeni kiitifaki
Wameamua kutoka wote nje !? Ili iweje!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…