Niulezee Kwa vipi ikiwa wao ni wahanga wa haya makanisa yanayowasaidia Chadema siasa kisa tuu wanamvhukia Samia Kwa sababu sio wa dini Yao?
Ni upuuzi usio na msingi kujisemesha na kutaka ku nullify uchaguzi kisa matukio 3 sijui matano Nchi nzima , analysis ya wapi hiyo?
Wasivyo hata na aibu ,juzi kati hapo viongozi wa CCM waliuwawa,na hata kwenye uchaguzi huu mmja kachomwa kisu ,hayo yote hawajayaonia ila wanaona ya Wapinzani.
Hawa wakae kimya kabisa,wanashabikia Upinzani Kwa maslahi ya nani? Juzi mwingine analalamika Mbowe Kukamatwa wakati wanajua alifanya mkutano ratiba sio yake.