LGE2024 Askofu Juda Ruwa'ichi atoa tamko kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa

LGE2024 Askofu Juda Ruwa'ichi atoa tamko kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ahahahahaha! Ukiona mtu anatamba, basi ujue mfumo uliopo umemruhusu atambe. Ila kifupi , he's just a bug!
Tajir swala la unyanyasaji wa ccm halijafikia kwenye kilele cha hasira.hadi sasa tuna umeme wa uhakika ukifanya biashara huibiwi .hawatunyanganyi ardhi zetu hizo ndogo zinafanya watu tuseme kuliko vita bora hii.ila wakigusa imani bosi duniani binadamu anaheshimu dini kuliko serikali ni dont touch zone ndo maana vita ya middle east haiishi.huyu mkaibe dhahabu tumewazilia na ucjaguzi mjichague sawa msijaribu
 
Binafsi ningependa kuona hawa Maaskofu au makanisa yakifanya kitu cha tofauti katika kuonesha kuchukizwa na mambo wanayoona hayafai yanayoendelea nchini kuliko kuishia kutoa tu matamko kila leo mpaka imekuwa kama washazoeleka tu na ndio maana wengine huona kama wanafanya siasa.
 
Niulezee Kwa vipi ikiwa wao ni wahanga wa haya makanisa yanayowasaidia Chadema siasa kisa tuu wanamvhukia Samia Kwa sababu sio wa dini Yao?

Ni upuuzi usio na msingi kujisemesha na kutaka ku nullify uchaguzi kisa matukio 3 sijui matano Nchi nzima , analysis ya wapi hiyo?

Wasivyo hata na aibu ,juzi kati hapo viongozi wa CCM waliuwawa,na hata kwenye uchaguzi huu mmja kachomwa kisu ,hayo yote hawajayaonia ila wanaona ya Wapinzani.

Hawa wakae kimya kabisa,wanashabikia Upinzani Kwa maslahi ya nani? Juzi mwingine analalamika Mbowe Kukamatwa wakati wanajua alifanya mkutano ratiba sio yake.
Huyo Ruwaichi ni Chadema damu tunajua. Ila Mwanza mwaka 2015 tulimnyoosha eti alikuwa anasema hatujitambui hivyo Chadema inashinda Mwanza. Alikuwa akiongea hivyo akiwa na Chagadomo wenzake pale TEC hakujua sisi tulikuwa tunamchora tu!! 🤣🤣
 
Huyo Ruwaichi ni Chadema damu tunajua. Ila Mwanza mwaka 2015 tulimnyoosha eti alikuwa anasema hatujitambui hivyo Chadema inashinda Mwanza. Alikuwa akiongea hivyo akiwa na Chagadomo wenzake pale TEC hakujua sisi tulikuwa tunamchora tu!! 🤣🤣
Mshenzi sana huyo Jamaa,ni WA kupuuzwa tuone atakachofanya.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Wewe utakuwa mjinga,ratiba imewekwa ya nini? Ndio maana mumekatwa Kwa kutifuata kanuni zilizopo harafu mnakuja kuongea upuuzi huku mitandaoni na hao wanaowafariji na wasio na Msaada .

Kwanza hata Wafuasi wenu hawapigi kura eti wanajisemesha ooh kura zitaibiwa,Sasa hapo ndipo ccm wanafurahi na Huwa unaona wanahamasishanazkuoigiana simu na kuwasafieisha watu wao kuanzia kujiandikisha Hadi kupiga kura.

Nyie endeleeni na ujinga wenu wa mitandaoni mtakoma.Mnaleta siasa za Ulaya Africa?
Ni kweli, siasa za Africa ni kutegemea vyombo vya dola kushinda kwa shuruti.
 
Ahahahahaha! Hao wanaolalamika CCM imepika matokeo wako wapi? Msumbiji watu wanaolalamika waziwazi. Hapa Tanzania wanaolalamika kupokea matokeo we umewaona? Ahahahahaha!! Ushindi wa kishindo unasubiriwa tena 2025!!! Ahahahahaha!!!
Unaachaje kushinda kwa kishindo ukiwa refa ww, linesman ww, kamisaa ww?
 
Halafu sijui ana mapengo, ila ni mchaga, wanachadema wengi wanatokea huko. Kitima yeye anamuunga mkono msingida mwenzake. Wakatoliki wakiona Rais muislamu wanakuwaga na midomo mirefu
hamna point umeandika mkuu. Mtu kuwa mchaga si lazima awe chadema, ni sawa nankusema kila mzaramo ni malaya

Kwa record yako hata magu alipozingua muda fulani walimsema, ninkanisa pekee ambapo kwenye utawala wa magufuli walidhubutu kukemea . The rest wakageuka chawa
Catholic ni taasis isiyo yumbishwa kirahis
 
Back
Top Bottom