Askofu Kabigumila: Mungu amenionyesha mwisho wa 'Wasiojulikana' ni mwezi wa Nane 2025

Askofu Kabigumila: Mungu amenionyesha mwisho wa 'Wasiojulikana' ni mwezi wa Nane 2025

Askofu Dickson Kabigumila, akihubiri kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, amesema kuwa ameonyeshwa na Mungu kuwa kundi linalojulikana kama 'wasiojulikana' litafikia mwisho wake ifikapo mwezi wa nane mwaka 2025.
Kabigumila mwezi uliopita aliitwa kuhojiwa polisi. Alisema mwemyewe.
Mungu atusaidie sana anayosema kweli Mungu atende haki na amani ktk nchi yetu
 
watu wanajua kutafsiri vinginevyo kabisa, kasema ameshawana wasiojulikana kuanzia tarehe moja june hamtaona tena wasiojulikana, mpaka mwaz wa nane. ulichokiandika ni vitu viwili tofauti ndio maana ujaleta ujumbe wote
 
hitaji kubwa la tanzania sasa ni Mungu ashuke atutetee kwa namna anayojua mwenyewe. tutamshukuru Mungu. kwa sababu kama hadi makanisa wameanza kuyaatack wanafunga makanisa, wanataka ibaki misikiti peke yake au vipi? kama gwajima amekosa (kama alikosa kweli) kwa nini waumini wake wanazuiwa haki yao ya kusali? makanisa 2000 yote wamezuiwa wasisali kwenye majengo yao. kwa sababu wamefuta usajili, unajua kisheria kwa sababu wamefuta usajili, wakienda kwenye makanisa yao hata mkoani wanakuwa wapo kwenye kusanyiko lisilo halali, wanaweza kukamatwa na kushitakiwa. hivyo wamenyima haki za waumini malaki kwa kosa la mtu mmoja. hao waumini wamekosa nini?
 
Askofu Dickson Kabigumila, akihubiri kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, amesema kuwa ameonyeshwa na Mungu kuwa kundi linalojulikana kama 'wasiojulikana' litafikia mwisho wake ifikapo mwezi wa nane mwaka 2025.
ramli na ushirikiana kama huu, ni utumwa wa kimaskini sana kwa waabudu sanamu na wenye imani potofu 🐒
 
Maoni YANGU ni kuwa,
Kikundi kitapotezwa Ili kusafisha Hali ya hewa.

Yaani watageukwa .
 
Inawezekanaje ukatetea mauaji na unafurahia damu za watu, wasio na walio na hatia. Kama wana hatia mahakama zipo. Na kama hawana hatia mnawauwa wa kazi gani. Wewe ni Shetani mkubwa.
hakuna wa kubababika na story au porojo kuhusu hizo drama gentleman 🐒
Inawezekanaje ukatetea mauaji na unafurahia damu za watu, wasio na walio na hatia. Kama wana hatia mahakama zipo. Na kama hawana hatia mnawauwa wa kazi gani. Wewe ni Shetani mkubwa.
 
Askofu Dickson Kabigumila, akihubiri kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, amesema kuwa ameonyeshwa na Mungu kuwa kundi linalojulikana kama 'wasiojulikana' litafikia mwisho wake ifikapo mwezi wa nane mwaka 2025.
Kuna mtu anasemwa hamalizi July, na huku twaambiwa August ndio mwisho wa "wasiojulikana"!!!

Hapa ina maana huyo asiyemaliza July ndiye " sponsor" wa wasiojulikana!!???
 
Sisali kwa Gwajima, lakini hakuna jambo limeniuma mwaka huu kama serikali kufungia kanisa lote, na yale makanisa mikoani na kwengine takribani 2000, waumini malaki wote hao wamenyimwa haki ya kuabudu kwa sababu ya kosa moja la mtu aliyepo Dar es Salaam.

1. katiba inatoa haki ya kuabudu, hadi wapagani wana haki hiyo, ila samia anafunga kanisa. Kufunga makanisa nchi nzima kunanyima haki waumini ambao hawana kosa lolote wasiabudu, tafadhali rudisheni usajili ili nchi ikae na amani na furaha. hamuwezi kuzuia watu kuabudu au kulazimisha waabudu vile ninyi mnavyotaka.

2. Kama kuna kosa, aadhibiwe Gwajima, ndiye aliongea, sio waumini. Kanisa moja tu Dar es Salaam limekosea yeye amefuta na branches zake zote nchi nzima makanisa zaidi ya 2000, hivi msikiti mmoja ukikosea atafuta misikiti yote nchi nzima au branchez zake nchi nzima? au kwa sababu hili ni kanisa na yeye sio mkristo ndio ameamua kushughulikia wakristo?

3. Waumini wamekosa nini? makanisa mikoani, na hata hapa dsm, na hata pale ubungo, waumini wana kosa gani hata serikali iwazuie kusali?

4. nchi zenye akili zinahamasisha watu wake wamwabudu Mungu, ila samia anafunga makanisa.

5. watu tunajiuliza, ungekuwa msikiti angefunga? au amefunga kwa kuwa ni kanisa?

6. Muislam usiyemjua Mungu wa Israel utamtukanaje Mkristo kuwa ni mtumishi wa shetani?

7. wakatoliki wamekosoa, mbona hawajafutwa hapa Tanzania? au hawajasajiliwa au hawahitaji usajili. sishabikii kwamba wakatoliki washughulikiwe No, ila hoja ni kwamba mbona kuna double standards?

8. samia anafikiri kwa kutukana kanisa na kuhudhuria kwa malasusa atakuwa amejisafisha mbele ya wakristo, aliye karibu naye amshauri, ASITUGAWE WALA KUTULETEA UDINI NCHI HII.

9. samia aliikuta nchi salama haina udini, mshaurini aongoze na aje aiache ikiwa salama vilevile.

10. yote katika yote, sisi wakristo huwa hatupigani kwa majambia, mitutu na mikuki, tunapigana kwenye magoti, kwa maombi, tutamwomba Mungu na hakimu wa kweli atatoa jibu la kinini smaia anazuia waumini wa ufufuo na uzima wasiabudu; kwamba kwa sababu kanisa moja la dsm limekosea basi makanisa yooote nchi nzima 2000 yafungwe, msikiti mmoja ukikosea anaweza kuzuia misikiti mingine nchi yote? au ni kwasababu hili ni kanisa na yeye ni muislam? nia yake ni kufuta ukristo au nini? anafikiri ataweza? kama wayahudi walishindwa ataweza yeye?
 
Back
Top Bottom