Kumbe?maelezo yoyote kuhusu utekaji tz ni drama na porojo za pata potea tu gentleman 🐒
Hili bunge la matapeli litakapo vunjwaAskofu Dickson Kabigumila, akihubiri kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, amesema kuwa ameonyeshwa na Mungu kuwa kundi linalojulikana kama 'wasiojulikana' litafikia mwisho wake ifikapo mwezi wa nane mwaka 2025.
CCM ndiyo wauajiAmina baba askofu japo sasa tunajua wafadhili ni chama gani.
Aliyekemea mauaji ameitwa mtumishi wa shetani ila wauaji naona wao ndio malaika.
Mungu yupo na atajibu maombi na vilio vyetu
TutakuwepoAskofu Dickson Kabigumila, akihubiri kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, amesema kuwa ameonyeshwa na Mungu kuwa kundi linalojulikana kama 'wasiojulikana' litafikia mwisho wake ifikapo mwezi wa nane mwaka 2025.
Nami nilitaka kuuliza: Ana maanisha wataacha upuuzi huo, au ndiyo watajulikana wazi?Maoni YANGU ni kuwa,
Kikundi kitapotezwa Ili kusafisha Hali ya hewa.
Yaani watageukwa .
Kama sijakupata apaKabigumila mwezi uliopita aliitwa kuhojiwa polisi. Alisema mwemyewe.
Mungu atusaidie sana anayosema kweli Mungu atende haki na amani ktk nchi yetu