GE2025 Askofu Kadutu: Luhaga Mpina na Salum Mwalimu bado hawafiki Viwango vya Urais tunavyohitaji. Tusilete utani tukaumia Miaka 5 ijayo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima (GCTC), Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi), amesema;

"Naweza kusema nikiangalia ACT Wazalendo namuona Luhaga Mpina aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, namfahamu. Naangalia kwa upana bado hajafikia ile 'level' ya Rais tunayemhitaji kwenye wakati huu, kulijenga Taifa lenye Umoja, mshikamano, Upendo, Amani, utulivu.. bado! Lakini siyo Urais pamoja na kwamba anavigezo vyote vya Kikatiba kwa maana ya Umri, kuwa Mbunge, kuteuliwa na Chama chake lakini bado!."

"Taifa hili linahitaji kiongozi wa tofauti mwenye courage ya kupmbana kujenga uchumi wa ndani na kuacha kukopa."

"Naangalia CHAUMMA, namuona Salum Mwalimu... bado, tena bado mbali kabisa nadhani hata Ubunge amekosa kosa mara nyingi sana, amewahi kugombea Kinondoni kule kwao Zanzibar alikosa, ni mtu ambaye hata kwenye nafasi ya Ubunge anahitaji kuwa nguvu ya ziada ku-qualify kuwa msemaji wa Jimbo na mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo sio nchi, tusilete utani kwenye mambo ambayo yatatuumiza ndani ya Miaka Mitano ijayo."

Your browser is not able to display this video.
 
Jamaa alikuwa mfagizi soko la Tandale, anaona wenzake hawatoshi, sijui yeye U-askofu aliupataje(askofu kwa herufi ndogo)
 

Tatizo la askofu huyu, ni kuamini kwamba Askofu Mkuu wake Josephat Gwajima ndiye Rais wa Tanzania aliyefaa kutawala nchi yetu kwa kuongozwa na ndoto na maono ya mitume na manabii wao
 
Sina mengi ya kusema, ni machache tu. Mpina maliza kazi uliyopewa kuna zawadi yako nzuri wewe pamoja na watoto wako.
Zitto kazi tuliyokupa umeimaliza
Mbowe hongera, umeupiga wa kutosha.
 
kwahiyo hkwa ugaidi uyu alikaa ukonga akiwa kwenye mission? Basi kama ni hivyo. Alaaniwe milele
Wewe ulimuona huko Ukonga akiwa anakunya kwenye ndoo kama mahabusu wengine?.
Hapo Ukonga kuna sehemu unalala mpaka unaota uko US bwashehe. This is Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…