Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Msikilize hapo chini...! Huyu ni mmojawapo wa maaskofu ambao analitendea vyema hilo jina ASKOFU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini?ila kupima covid kwanza ndio muhim kabla ya chanjo jaman daaa
Kichwa yako ina problem+stupidityYeye kachanjwa? Kishawahi kuwaambia serikali kuleta chanjo ya malaria? Why chanjo ya corona?[emoji15]
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kakobe is very ignorant.Angeitendea haki hoja yake,na ningemuona yuko rational kama angetuambia chanjo ni safe kwa kuwa contents zake ni ABC;Sanizer ni safe kwa kuwa contents zake ni ABC;Msikilize hapo chini...! Huyu ni mmojawapo wa maaskofu ambao analitendea vyema hilo jina ASKOFU.
View attachment 1891773
Yeye siyo mtaalamu wa hayo mambo uliyoeleza, yeye anawaamini wataalamu wa hayo mambo uliyoyaeleza ambao ni wizara ya afya kwa hapa TZ. Na vile vile wataalamu wa mambo wa afya nao siyo wataalamu wa biblia, ndiyo maana wanaenda kupiga goti kwa Kakobe. Duniani tumeumbwa kugawana majukumu, huwezi mtu mmoja ukajua kila kitu. Ukitaka kujua kila kitu utaishia kujua robo robo na mwisho wa siku utawaingiza watu chaka. Acha umuch know....Kakobe is very ignorant.Angeitendea haki hoja yake,na ningemuona yuko rational kama angetuambia chanjo ni safe kwa kuwa contents zake ni ABC;Sanizer ni safe kwa kuwa contents zake ni ABC;...
.
Wanawake mnataka mtahiriwe sio?Titahiriwe Kwanza ndipo tuchanjwe
ukishindwa kuiamini wizara ya Afya na WHO ukamuamini gwajima kama chanzo chako cha tafiti za Afya , utakua bonge la fala yan sijawai onaKakobe is very ignorant.Angeitendea haki hoja yake,na ningemuona yuko rational kama angetuambia chanjo ni safe kwa kuwa contents zake ni ABC;Sanizer ni safe kwa kuwa contents zake ni ABC;Bakoa ni safe kwa kuwa kitaaluma imeonyeshwa kuwa ukipata hewa kidogo haina madhara kwenye immune system,ukivuta tena ndani hewa chafu haina madhara kwenye afya kwa ujulma including your immune system;Vitambaa vibavyotumika kutengezea barakoa havina na havitoi dangerous gases and substances na havijapandikiziwa poisons kama Graphene Oxide ambayo imeonekana kwenye barakoa zingine;Lockdows hazina madhara kwa kuwa utafiti wa kutosha umeshafanyika na imeonekana ni safe.Social distancing nayo hali kadhalika.
Kuwaambia watu tu wakachanje bila kuwaambia uzuri na ubaya wa chanjo hizo ni very ignorant and irresponsible.Kakobe ajitathmini kama kweli anafaa kuitwa Askofu.
Kwa tathmini yangu nadhani he is compromized,amepewa mrungura na Mr.Global.Shame on him.
.
Siku hizi hakuna mtu wa kuamini.Hao hao tunao waamini ndio wanaotuuzia pombe na sigara huku wakituambia ni hatari kwa afya yako.Bullshit,it's shear nonsense.Yeye siyo mtaalamu wa hayo mambo uliyoeleza, yeye anawaamini wataalamu wa hayo mambo uliyoyaeleza ambao ni wizara ya afya kwa hapa TZ. Na vile vile wataalamu wa mambo wa afya nao siyo wataalamu wa biblia, ndiyo maana wanaenda kupiga goti kwa Kakobe. Duniani tumeumbwa kugawana majukumu, huwezi mtu mmoja ukajua kila kitu. Ukitaka kujua kila kitu utaishia kujua robo robo na mwisho wa siku utawaingiza watu chaka. Acha umuch know....
Kama sio mtaalamu anyamaze,atashaurije kitu asichokijua?It is very stupid of him.Yeye siyo mtaalamu wa hayo mambo uliyoeleza, yeye anawaamini wataalamu wa hayo mambo uliyoyaeleza ambao ni wizara ya afya kwa hapa TZ. Na vile vile wataalamu wa mambo wa afya nao siyo wataalamu wa biblia, ndiyo maana wanaenda kupiga goti kwa Kakobe. Duniani tumeumbwa kugawana majukumu, huwezi mtu mmoja ukajua kila kitu. Ukitaka kujua kila kitu utaishia kujua robo robo na mwisho wa siku utawaingiza watu chaka. Acha umuch know....
Mwaka jana 2020 mbona hakuvaa barakoa kwenye mikutano?Yeye siyo mtaalamu wa hayo mambo uliyoeleza, yeye anawaamini wataalamu wa hayo mambo uliyoyaeleza ambao ni wizara ya afya kwa hapa TZ. Na vile vile wataalamu wa mambo wa afya nao siyo wataalamu wa biblia, ndiyo maana wanaenda kupiga goti kwa Kakobe. Duniani tumeumbwa kugawana majukumu, huwezi mtu mmoja ukajua kila kitu. Ukitaka kujua kila kitu utaishia kujua robo robo na mwisho wa siku utawaingiza watu chaka. Acha umuch know....
Siwezi kuiamini Wizara ya Afya kwa kuwa ndio hao hao walio ruhusu watu wauziwe sigara na pombe huku wakisema ni hatari kwa afya zao!Na siwezi kuwaamini the WHO kwa kuwa ni wabia katika mauaji ya C-19 ambayo ni fully funded by the killers Anthony Fauci na Bill Gates.Siwezi kuiamini pia the WHO kwa kuwa it is almost fully funded by Bill Gates,the killer.Mkuu mimi sio poyoyoyo,labda wewe.ukishindwa kuiamini wizara ya Afya na WHO ukamuamini gwajima kama chanzo chako cha tafiti za Afya , utakua bonge la fala yan sijawai ona
Inaonekana naye kaishalambishwa kitu mkuu,sio bure.Huyu ni mtumishi wa Mungu uchwara.Naona anamchokoza Bishop. Gwajima
Au ndio kujipendekeza kwa Mamlaka?
Kweli kabisaInaonekana naye kaishalambishwa kitu mkuu,sio bure.Huyu ni mtumishi wa Mungu uchwara.