#COVID19 Askofu Kakobe: Msidanganyike pateni chanjo


Na tungekuwa na viongozi wenye hofu ya Mungu wasinge egemea upande wowote. Wange sema kweli za faida ya chanjo na hasara zake kwa uwazi kabisa kwa wananchi wote mpaka huko ndani vijijini. Khalafu ndio wakawapa ile form ya chanjo ya corona kila mmoja kujihukumu mnyewe.

Kwa bahati mbaya tuna waziri wa Afya wa ajabu sana, Wananchi wasijue madhara ya chanjo maana ni kampeni ya kitaifa. Dawa zote ni sheria kuwa na maelekezo kwenye vifungashio yakiwemo ya madhara. Huyu ni daktari alieamua kuweka ujuzi wake makalioni.
 
Unajua mkuu,hawa watu wanawafanyia wananchi makususudi.Mimi naweza kusema kwa uhakika kabisa kwamba wameziba macho na masikio ili wasione wala kusikia.Wataachaje kujua madhara ya chanjo ambayo yanahubiriwa na madaktari nguli duniani kote.Hela nyingi zimetembea mkuu.
 
ila unamuamini gwajima na jpm au sio?

unaongea usiyoyajua labda ni upeo mdogo wa akili
 
ila unamuamini gwajima na jpm au sio?

unaongea usiyoyajua labda ni upeo mdogo wa akili
Labda nikutanabahishe "ngebe," na ngebe kweli kweli,kwamba my Soul is fully controlled by God and so my mind likewise.Wewe on the other hand your Soul is controlled by Lucifer and hence your mind and body so what comes out of you is of your father Lucifer.So I am not surprized by what you say.
 
Unawakilisha kundi kubwa sana la wajinga wa nchi hii mnaoamini katika conspiracy theories.
 
nikikuuliza kwanini unapinga chanjo huna majibu
 
Yeye kachanjwa? Kishawahi kuwaambia serikali kuleta chanjo ya malaria? Why chanjo ya corona?[emoji15]


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Chanjo ni kwa ugonjwa wa virusi tuu siyo kila ugonjwa! Magonjwa yote yanayoenezwa na virusi havina tiba, namna pekee ya kuzuia ni kwa chanjo! Malaria haina tiba? Husababishwa na virusi
 
nikikuuliza kwanini unapinga chanjo huna majibu
Fuata mada zangu nyingi kwenye link hii👇,utapata jibu.Mimi ni mtaalamu,I talk with facts,sio ngebe tupu kama wewe "ngebe".

 
naomba unipe mechanism ya chanjo inavyoingia na inavyofanya kazi mwilini! halafu nipe na source ya taarifa yako
 
So Gwajiboy aache kiburi!?
Gwajiboy yupo sahihi hoja zake zina nguvu
Gwaji boy mjuaji tu hamna kitu, Mara leo unamkuta CDM, baada ya muda CCM, mara leo anakataa ubunge, baada ya muda anagombea! Ni kinyonga na tapeli! Anawakamata wajinga wajinga kwenye mabati yake yale
 
naomba unipe mechanism ya chanjo inavyoingia na inavyofanya kazi mwilini! halafu nipe na source ya taarifa yako
Jamaa hajui kitu huyu mkuu, yeye kamezeshwa stories za akina Nuhu kazibeba nzima nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…