#COVID19 Askofu Kakobe: Msidanganyike pateni chanjo

Yeye kachanjwa? Kishawahi kuwaambia serikali kuleta chanjo ya malaria? Why chanjo ya corona?[emoji15]


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Kwanini hazipo chanjo za malaria hadi leo si jambo la kuongelea ki pedestrian namna hiyo jombi.

Bora hata ungeuliza basi kuliko kujifanya wajua mno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Khaaaaaa!
 
Hizi chanjo ni mhimu kujiridhisha kisayansi kwamba hazina madhara, pia, hizi cha njo kwa vipimo vya mandiko matakatifu, Kama zimekuja ili zitimize kitu hapo!

Hilo ndilo tatizo lililopo, Mwenye Imani hiyo, kufa, kwake ni bora kuliko kuchanjwa!! na ndicho kinachoendelea karibu kwa mataifa yote!
 
Mimi nilifikiri mwanasayansi nguli ndo anatoa huu ujumbe akiwa na evidence zote za kiutafiti kumbe ni porojo za kakobe pasipo ku quote maandiko yapi yanaamrisha mtu afanye jambo ambalo ni kinyume na dhamiri na utashi wake, wewe jamaa ni bogus sana aisee.....
 
Kwa nini?

Ujinga wa baadhi ya watu wa nchi hii unakera. Hujui kuwa ukiwa positivena bila kuumwa au ukiunwa na ukapona maana yake ni kuwa mwili umetengeneza antibodies na unaweza kukaa hadi miezi tisa bila kuhitaji chanjo??

Jifunze kwanza kuhusu ugonjwa huu kabla hujarukia mada zitakazokuaibisha!!
 
Watu wamekuwa na scientific arguments kwamba chanjo ya corona ni salama ukilinganisha na chemical ingredients zake? Jibu zuri ni lile linaloendana na swali hata kama si sahihi.
 
Hujui lolote, unamezeshwa tu maujinga
 
Very smart...watanzania wenye ubongo kama wako including humu JF ni wachache sana...they don't ask smart and serious questions, they just want people to align to the slaughter house without even asking the basic questions.

If he has decided to be an ambassador of vaccines, maybe he should tell us first what’s in the vaccine and what are the long term side effects for humans. The short term animal trials didn’t go so well for them.

I refuse to be vaccinated because there is no long-term data on its safety and covid19 recovery is 97.9% for <55. Surprisingly there's a lot of blackmailing to take this experimental mNRA vaccine,
 
well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…