Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

Historia ina kawaida ya kujirudia rudia
Yale yote unayoyaona yanatokea leo yalishawahi kutokea kitambo.
Unawakumbuka Hitler wa Ujerumani,Mussolini wa ltaly, General Franco, wote hao walikuwa na vyama imara na madhubuti kuliko CCM lakini mwisho wake ilikuwaje?.
Usidhani CCM ni tofauti katika historia,ni juzi tu Lowasa karibu wasambaratishe kama hila zisingetumika.
 
Ana ugonjwa wa akili huyu sio bure ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Duh...!.
P
 
Kwa nini mletewe watu wawatawale? Kwa nini mnakubali?

Huo ni uzwazwa wenu, Mimi nikiwa jirani yako alafu kila siku nina kazi ya kumega eneo lako alafu wewe umekaa kimya unataka nifanyaje?
 
Wakati mwengine uwe unaficha ujinga wako.
 
Nyerere anapenda muungano sasa Samia kaona aunganishe muungano wa bandari na Dubai๐Ÿ˜‚
 
Sawa, shukurani.
 
Haya waislam na waswahili wenzangu khususan wa mikoa ya Pwani ya ukanda huu, ndio muone sasa chuki dhidi yenu ni kubwa kuliko mnavyojidanganya.
Wakati wa kujiandaa ndio sasa, kurejesha dola ya watu wa mzizima. akumulikae mchana usiku atakuchoma. Waswahili muamke sasa dola ya mzizima inanukia.
Muweke wazi misimamo yenu, nje ya muungano huu hamtaki Tanganyika bali kila mtu arudi kwao,
Wa Kigoma, Mwanza, Kilimanjaro, na pande zote za bara ya iliitwa Tanganyika na wakoloni sio nchi yetu sisi waswahili wa mwambao.
Kiundugu, kitamaduni na hata kiistaarabu sisi waswahili sio watanganyika.
Hivyo wito wangu kwa wapiga zumari za ubaguzi dhidi ya ndugu zetu wa Zanji, mjiandae kurejea makwenu maana hapa Dar es Salaam na mikoa mengine ya mwambao huu wa Tanzania pia hatuna haja ya hilo dubwana lenu liitwalo Tanganyika.
Litote tugawane mbao.
Viva Jamhuri ya kidemokrasia ya waswahili wa mwambao.
 
Wazanzibar hawawezi kuuvunja muungano kabla ya kuuza mali za Tanganyika kwa waarabu wenzao. Uuzaji huu wa mali za Tanganyika ni mwanzo wa kuvunjika kwa muungano. Watanganyika wasipochukua hatua, ipo siku nao watauzwa utumwani kwa waarabu.
Nakusoma sana mkuu.

Wanauza mali ya Tanganyika ili mtanganyika awe anakufa kwa madeni yasiyolipika halafu watuambie kipo wapi
 
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ Tanganyika ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘Tanganyika ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘Tanganyika!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ