Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

Ili Tanganyika irudi, lazima muungano uvunjwe bila hivyo haitawezekana.
 
Tangu nikuwa mdogo nilijiuliza hii serikali ya Zanzibar imetoka wapi? Ya Tanganyika iko wapi? Niliuliza swali nikiwa la saba kuwa ni kwa nini Zanzibar isiwe mkoa katika Tz. Mwalimu alijikanyaga, mwisho akasema baba wa Taifa ndiye mwenye siri ya muungano. Sasa nimechoka, "naitaka Tanganyika ". Kama vipi, serikali tatu.
 
Hakuna muungano utakao vunjika hapa, na kwani wanataka muungano uvunjike ni wazanzibar na sio wazanzibara Eg jusa, maalumu rip,
Zanzibar itakuwa mkoa subiri kidogo
 
Hakuna muungano utakao vunjika hapa, na kwani wanataka muungano uvunjike ni wazanzibar na sio wazanzibara Eg jusa, maalumu rip,
Zanzibar itakuwa mkoa subiri kidogo
Una maana gani mkuu?
 
Back
Top Bottom