Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unadhani Muungano upo?Ili Tanganyika irudi, lazima muungano uvunjwe bila hivyo haitawezekana.
Upo japo ni wa mchongoWewe unadhani Muungano upo?
Yuko wapi huyo magufuli wako, na Askofu yuko wapi?Magufuli alibinya kidogo hii tapeli ikanywea
Wote wamepotezwa. Mmoja kafa na mwingine kaingiza mkia katikati ya miguuYuko wapi huyo magufuli wako, na Askofu yuko wapi?
DuhWote wamepotezwa. Mmoja kafa na mwingine kaingiza mkia katikati ya miguu
Muungani ni faida tupu, fikiria tena mara mbili mbiliMuungano ni utapeli unaowanufaisha maCCM na machawa wao. Nchi ya kipuuzi sana hii. Usijiingize kwenye utapeli ambao haukunufaishi kwa nanma yoyote ile mkuu.
Taja hizo faidaMuungani ni faida tupu, fikiria tena mara mbili mbili
Kubwa ni kuzuia islamic state wasiingilie upande ule na wasikite mizizi wakafika bara hukuHebu zitaje hizo faida na wanaonufaika ni akina nani mkuu?