Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kwa hiyo kuabudu vitu ni akili?🤣🤣Huna ulijualo ila povu linakutoka,kuna watu MNA matatizo ya afya ya akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kuabudu vitu ni akili?🤣🤣Huna ulijualo ila povu linakutoka,kuna watu MNA matatizo ya afya ya akili.
Kuhusu kuabudu vitu sina akili hiyo kabisa🤣Huna ulijualo ila povu linakutoka,kuna watu MNA matatizo ya afya ya akili.
Kanisa ni sehemu Takatifu, linapopota unajisi wa aina yoyote lazima litakaswe kwanza kwa kumfunga, Toba na ibada maalumu kabla ya kuanza kukitumia.Makanisa haya ni matatizo.
Kumbe makanisa yakivamiwa na sakramenti kuharibiwa ibada zinakufa?
Mmmh huyu Mungu anatuonaje?
Si imeandikwa tutamwabudu Mungu rohoni?
Hatari sanaTunaingia kwenye toba ya malipizi.
Kuna kitu hakipo sawa.shangaa sasa. jengo lipo watu wapo ,viongozi wapo ni kitu gani hicho kilichoharibiwa hadi ibada zisitishwe
kuna vi miungu huko vimejeruhiwa
ila jamaa ni mkatili, eti mlevi, mlevi akazima hadi cctv cameras
Mwafrika dini yako ni ipi? Nani alikuzuia kuendelea na dini yako? Mwafrika ni yupi? Msomalia? Mhabeshi? Morocco? Misri? Algeria? Au Mpemba? Au Wama Dagascar?Hawezi pata jambo lolote baya labda wamfanyie ukatili wenyewe. Hao jamaa wanaojiita padri, sista, askofu wanafanya ushenzi mkubwa sana. Wana najisi watoto wa kiume, wana gonga wake za watu, yaani ni wahuni hakuna mfano.
Hizi dini ni bora zifungwe, waafrika tuendelee na imani zetu za zamani maana zina maadili mazuri kuliko hawa wafanya biashara na wanyonyaji.
Wananchi wanachanga michango mingi kujenga:
1. shule ila watoto wao lazima walipe ada kubwa kusoma katika hiyo shule, mtoto wa masikini kama ana ada hawezi soma katika hiyo shule
2. waumini wanajenga hospitali ila muumini hawezi kwenda pale kwenye hospital kutibiwa bure na gharama za matibabu ni kubwa hatari.
Hawa jamaa wanafanya biashara ya kuuza matumaini kwa watu wakijinadi kwamba wanafanya kazi ya mungu. Imani zao hazina tofauti na imani zetu za kale ambazo watu waliomba mvua wakapata na kuomba neema wakabalikiwa.
Tatizo mjuajia ila huna unalolijua!!! Wewe nenda kwa mwamposa tu upo sahihi sana wacha wenye imani yao waendelee kupotea.Kuhusu kuabudu vitu sina akili hiyo kabisa🤣
Mimi sijui lolote kuhusu kuabudu vitu mkuuTatizo mjuajia ila huna unalolijua!!! Wewe nenda kwa mwamposa tu upo sahihi sana wacha wenye imani yao waendelee kupotea.
Sawa.Mimi sijui lolote kuhusu kuabudu vitu mkuu
Wamesema wamefunga ibada ama kanisa.Hakuna mantiki ya kufunga ibada vinginevyo kuna kinachoabudiwa si huyu Mungu muumba mbingu na nchi
Ibada inafanyikia wapi kwa RC kama sio kanisani?Wamesema wamefunga ibada ama kanisa.
Ibada inafanyikia wapi kwa RC kama sio kanisani?
Umewahi kuana RC wanasali chini ya mti?
Tuachane na hato mkuu usini quote tena
Si misalaba imevunjwa sasa tutaabudu vipiHakuna mantiki ya kufunga ibada vinginevyo kuna kinachoabudiwa si huyu Mungu muumba mbingu na nchi
Wewe ni Mkristo?Ujinga sana huu, yule Padri aliyebaka mtoto aliyekuja kuungama mbona halikufungwa? Ile kufuru ni kubwa zaidi sana ya hii
Wanabaka na kulawiti kanisani hawaoni kama ni najisi ila kuvunjwa misalaba ni najisiUjinga sana huu, yule Padri aliyebaka mtoto aliyekuja kuungama mbona halikufungwa? Ile kufuru ni kubwa zaidi sana ya hii
Ungemuambia basi aje nyumbani kwako afanye huo uharibifu, kama unaona ameonewa. Ila siyo kwenye nyumba ya ibada. Mambo ya imani siyo ya kuyaletea utani hata kidogo.Huyo kijana anaonewa tu. Wapo wakristo wengi wanaiba na wameliacha Taifa katika hali ya umaskini sana.
Wewe ni Mkristo?
Tena nyinyi mlionyimwa elimu ya duniani ndiyo kabisaaa! Hamtakiwi kuongea chochote. Maana mmekaa kishari shari tu.Wanabaka na kulawiti kanisani hawaoni kama ni najisi ila kuvunjwa misalaba ni najisi
Umeandika ujinga tu hapa. Maana wivu na husuda, ndiyo vimekujaa.Hawezi pata jambo lolote baya labda wamfanyie ukatili wenyewe. Hao jamaa wanaojiita padri, sista, askofu wanafanya ushenzi mkubwa sana. Wana najisi watoto wa kiume, wana gonga wake za watu, yaani ni wahuni hakuna mfano.