Askofu Kassala atoa ‘Dikrii’ ya kufungwa kwa Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo la Geita

Makanisa haya ni matatizo.
Kumbe makanisa yakivamiwa na sakramenti kuharibiwa ibada zinakufa?

Mmmh huyu Mungu anatuonaje?
Si imeandikwa tutamwabudu Mungu rohoni?
Kanisa ni sehemu Takatifu, linapopota unajisi wa aina yoyote lazima litakaswe kwanza kwa kumfunga, Toba na ibada maalumu kabla ya kuanza kukitumia.

Kanisa ni tajiri Lina nyumba nyingi za kufanyia ibada sio hapo tuu. Hivyo ni hatua sahihi na inaonekana hujasoma hiyo decree ya baba Askofu mstari kwa mstari una comment tu kama mtu asiyekuwa na kichwa
 
shangaa sasa. jengo lipo watu wapo ,viongozi wapo ni kitu gani hicho kilichoharibiwa hadi ibada zisitishwe
kuna vi miungu huko vimejeruhiwa
ila jamaa ni mkatili, eti mlevi, mlevi akazima hadi cctv cameras
Kuna kitu hakipo sawa.
Wanatulisha matango pori.
Eti mlevi? Eti outsider? Hell no!

Wanyooshe maelezo.
 
Mwafrika dini yako ni ipi? Nani alikuzuia kuendelea na dini yako? Mwafrika ni yupi? Msomalia? Mhabeshi? Morocco? Misri? Algeria? Au Mpemba? Au Wama Dagascar?
 
Ndio vijijini pasipo na makanisa wanadhimishia mitini.

Pili, Geita kuna makanisa (jengo) mengine. Watasalia huko.

Tatu, kanisa kiroho limenajisiwa. Lazima libarikiwe upya. Kanisa kimwili Lazima lifanyiwe ukarabati kwa miundombinu iliyoharibiwa ikiwemo kuweka mifumo salama zaidi kiulinzi. Any other of problem?
Ibada inafanyikia wapi kwa RC kama sio kanisani?
Umewahi kuana RC wanasali chini ya mti?
Tuachane na hato mkuu usini quote tena
 
Ujinga sana huu, yule Padri aliyebaka mtoto aliyekuja kuungama mbona halikufungwa? Ile kufuru ni kubwa zaidi sana ya hii
Wanabaka na kulawiti kanisani hawaoni kama ni najisi ila kuvunjwa misalaba ni najisi
 
Wanabaka na kulawiti kanisani hawaoni kama ni najisi ila kuvunjwa misalaba ni najisi
Tena nyinyi mlionyimwa elimu ya duniani ndiyo kabisaaa! Hamtakiwi kuongea chochote. Maana mmekaa kishari shari tu.

Hilo tukio lingefanyika kwenye nyumba yenu ya ibada, muda huu mngekuwa mnalialia tu na kujilipua kwa mabomu.
 
Umeandika ujinga tu hapa. Maana wivu na husuda, ndiyo vimekujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…