Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Askofu wa Jimbo la Geita katika hitimisho la Ibada ametoa kauli nzito ya kufikirisha na kuzingatiwa na wanasiasa wanaohama vyama kwenda kwingine.
Ombi na ushauri wa baba huyu wa kiroho ni kwamba wanaohama vyama kama CHADEMA wahame kwa amani na wanakoenda waende kwa amani.
Ni kauli iliyobeba Ujumbe Mzito. Amesisitiza AMANI! AMANI! AMANI!. Tusipuuze.