Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Haijalishi inabaki ni kuhama chama tu!!! Hata Heche anaweza kuhama!Amekosea kidogo, angesema wanaonunuliwa wanunuliewe kwa amani.
Wazee wa password 🐼Haijalishi inabaki ni kuhama chama tu!!! Hata Heche anaweza kuhama!
Asisitize na hakiAskofu wa Jimbo la Geita katika hitimisho la Ibada ametoa kauli nzito ya kufikirisha na kuzingatiwa na wanasiasa wanaohama vyama kwenda kwingine.
Ombi na ushauri wa baba huyu wa kiroho ni kwamba wanaohama vyama kama CHADEMA wahame kwa amani na wanakoenda waende kwa amani.
Ni kauli iliyobeba Ujumbe Mzito. Amesisitiza AMANI! AMANI! AMANI!. Tusipuuze.
Tuwatakie maisha mema huko waendakoAskofu wa Jimbo la Geita katika hitimisho la Ibada ametoa kauli nzito ya kufikirisha na kuzingatiwa na wanasiasa wanaohama vyama kwenda kwingine.
Ombi na ushauri wa baba huyu wa kiroho ni kwamba wanaohama vyama kama CHADEMA wahame kwa amani na wanakoenda waende kwa amani.
Ni kauli iliyobeba Ujumbe Mzito. Amesisitiza AMANI! AMANI! AMANI!. Tusipuuze.
Wamekosa hekimaAskofu wa Jimbo la Geita katika hitimisho la Ibada ametoa kauli nzito ya kufikirisha na kuzingatiwa na wanasiasa wanaohama vyama kwenda kwingine.