Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Netanyahu said:Ni heri kuwa na makanisa madogo yenye watu chini hata ya mia mbili lakini walipa kodi kuliko kuwa na mikanisa mikubwa yenye mamilioni ya waumini lakini hayalipi kodi.kiuchumi ni biashara kichaa
Kwangu mimi huu ni Ushauri wa hatari kwa nchi iliyojiwekea misingi ya uhuru wa kuabudu kwenye katiba yake. Yaani watz 200 wakitaka kuabudu wasihalalishwe kuabudu! Idadi gani ni halali?
Uamuzi wa kufuta kodi kwa dini zote ilikuwa sawa kabisa (right track). Kwakuwa sisi tusio na dini tunalipa kodi sawa sawa kwanini? upuuzi
Lakini kwakuwa serikali inaongozwa na kanisa katoliki lazima wainame, Subirini tushike nci wasio na dini kodi mtindo moja.
ukianzisha dini waumini wako watalipia kila kitu no point of intefering the legal system bullshit with religion groups wezi wakubwa halfu wanafiki wakubwa.