Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Netanyahu said:Ni heri kuwa na makanisa madogo yenye watu chini hata ya mia mbili lakini walipa kodi kuliko kuwa na mikanisa mikubwa yenye mamilioni ya waumini lakini hayalipi kodi.kiuchumi ni biashara kichaa
Notion kuwa makanisa madogo yanalipa kodi sijui unapoitoa, na kwanza hata concept ya 'makanisa madogo' sijui hata ilipoibukia. Ishu iliyopo mezani ni ishu ya ukwepaji kodi kwa kupitia jina la kanisa. Hii imezungumziwa kuhusishwa na uandikishaji holela wa makanisa ktk mamlaka husika bila ufuatiliaji. This was what we should be discussing, lakini watu pori wameingilia hii thread na kuipeleka 'kusikojulikana'..