Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Halafu utamkuta mtu anasema sijui nini, Dini na siasa anasahau siasa yenyewe ni Dini. Ujumbe umefika
Nyie na viaskofu vyenu uchwara vinabo kweli, Kikwete sio level yenu wapumbavu nyie. Mtaishia maneno ya kwenye kanga hivi hivi.Kidonda kimetumbuliwa tena kwa msumari wa moto.....
Ukkitaka kusema Kitima mchochezi unakutana na ngumi jiwe ya Kinyaiya..
Hata mumeo akikusikia unachoongea hapa atakulamba kibao. Mtaishia hivyo hivyo, lakini huyo jamaa ni Mungu tu aliyemfikisha hapo ndiye atakayemshisha, sio nyie vinabo.Kikwete fala tu
Kikwete ndiyo komesha ya maaskofu
By mungu unamaanisha kikundi chao Cha boys to menHata mumeo akikusikia unachoongea hapa atakulamba kibao. Mtaishia hivyo hivyo, lakini huyo jamaa ni Mungu tu aliyemfikisha hapo ndiye atakayemshisha, sio nyie vinabo.
JAKAYA MRISHO KIKWETEUjumbe huu umfikie waryoba
Yupo Hata hajui mnaongelea kitu gani na shati lake lilelile.Ujumbe huu umfikie waryoba
Huu ni ujumbe kwa Kikwete, usijifanye haujaekewa.Ujumbe huu umfikie waryoba
Analala kwenye chemba ya choo sasa hivi
Ujumbe ufike kwa nunda wote.Akitoa salamu za Pasaka kawaasa wasitaafu wapumzike wasitumie viongozi waliopo madarakani kuwaumiza watu.
Ujumbe umfikie.
Analala kwenye chemba ya choo sasa hivi