antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Thubutu,Ujumbe huu umfikie waryoba
Warioba ametesa nani??
Ujumbe unafaa kumfikia Kikwete
Thubutu,Ujumbe huu umfikie waryoba
We ni mtoto wa janaThubutu,
Warioba ametesa nani??
Ujumbe unafaa kumfikia Kikwete
Akitoa salamu za Pasaka kawaasa wasitaafu wapumzike wasitumie viongozi waliopo madarakani kuwaumiza watu.
Ujumbe umfikie.
SHETANI TANGU LINI AKAPUMZIKA !Akitoa salamu za Pasaka kawaasa wasitaafu wapumzike wasitumie viongozi waliopo madarakani kuwaumiza watu.
Ujumbe umfikie.
Ulipoteaga wapi wewe mlimbwende?Kikwete ndiyo komesha ya maaskofu
Kama oct 29 mlishindwa kuchukua nchi..the rest is like playing a gitta for dog to play..it will never happen...Akitoa salamu za Pasaka kawaasa wasitaafu wapumzike wasitumie viongozi waliopo madarakani kuwaumiza watu.
Ujumbe umfikie.
Nimepunguza kuingia humu sababu hakuna substancesUlipoteaga wapi wewe mlimbwende?
Siyo kwasababu ya mkong'oto wa nguvu Marekani na Wateule wanatoa kwa Iran? 😅🤣😂😆Nimepunguza kuingia humu sababu hakuna substances
Emb tueleze zaidi hili jamboEeeh Kardinali Pengo alipostaafu aligawa hadi simu yake ya mkononi akawa kwenye flight mode!!😁
Hahaha DaSHETANI TANGU LINI AKAPUMZIKA !
MUDA WOTE ANAMREMOTE JINNI MANYONYO.