Askofu Kinyaiya: Ukistaafu nenda kwako kapumzike, Usitese watu nyuma ya mwingine

Kidonda kimetumbuliwa tena kwa msumari wa moto.....

Ukkitaka kusema Kitima mchochezi unakutana na ngumi jiwe ya Kinyaiya..
Nyie na viaskofu vyenu uchwara vinabo kweli, Kikwete sio level yenu wapumbavu nyie. Mtaishia maneno ya kwenye kanga hivi hivi.
Kikwete ataendelea kubarikiwa na Mungu hata mkijitahidi vipi kumchukia na kumchafua sababu hakuwa na baya na mtu.......wengi mnaoshikilia ofisi Sasa na kumtukana mpo hapo kwa sababu yake yeye. Ni ukweli mchungu huo, vinabo tu ndiyo watabisha.
 
Hata mumeo akikusikia unachoongea hapa atakulamba kibao. Mtaishia hivyo hivyo, lakini huyo jamaa ni Mungu tu aliyemfikisha hapo ndiye atakayemshisha, sio nyie vinabo.
By mungu unamaanisha kikundi chao Cha boys to men
 
jiwe gizani litakalompata lazima atasema
 
Safiiii...
Raia wamechoka, enough is enough..
 
Mnatakiwa mchukue hatua Hao hawawezi kuacha kufanya unyama Kwa kutegemea vitisho vya maneno

Wanasiasa hawajawahi kuwa na hofu ya maneno
 
Ujumbe umemfikia...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
 
Wanaimba taarabu ,🤣🤣Kikwete mtoto wa mjini atawarudisha mashambani
 
Annas Alikua kuhani mkuu kati ya mwaka 6AD mpka 15AD

Warumi wakamtoa,
ila bado alikuwa na ushawishi mkubwa kwenye baraza la sanhedrine.
mkwe wake, Caiaphas ndio akafuatia kuwa .
Na baada ya Caiaphas inasemekana watoto wake wanne walifuatia kuwa makuhan wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…