gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Ahahah, sababu kasifiaMalasusa ana PhD
Wale wengine si huwa tunaambiwa PhD inaongeaAhahah, sababu kasifia
Tukiishi kwa amani hampendiKibaraka tu huyo!
TEC wanachama wa chademaMalasusa ni mwanachama mwaminifu wa CCM na pia ni afisa kipenyo.
Si ndiyo tunatambiwa kila siku!KWAHIYO DEGREE YA THEOLOJIA NA YENYEWE INAHESABIKA?
GallowKatika kile kinachoonekana kujibu mapigo ya maaskofu wa kanisa lile walioamua kuwa wanasiasa,askofu dkt malasusa amesema kuna watu hawapendezwi na jamii kukaa kwa amani
Wale wa kanisa lile wameshindwa kung'amua kuwa huwezi tafuta haki pahala pasipo amani,licha ya kusifiwa kuwa na elimu za chuo kikuu tena kuukuu, ilhali masheikh wasio hata na elimu ya a level kirahisi wameng'amua hilo
Katika Misa za noeli, viongozi hao wameonekana kusisitiza kupigania haki,wakidai kushindwa 'kutoka' na kupigania haki kwa mkiristo si sawa
Si ndiyo tunatambiwa kila siku!
Labda tuulize RwandaGallow
Dunia nzima inajua watu gani ni "Source" ya watu ambao hawapendi amani duniani. No speculation, TEC of all hawana hiyo hulka, aidha tu unataka kusema uongo.
Fungua makabrasha, duniani nani ni adui wa Amani, sina haja ya kusema!!
Usichague upandeWatu gani hao wasiopenda amani? Malasusa mahubiri yake huwa ni ya kichawa muda wote
Yesu alikua na Phd? Mwanafunzi yupi wa Yesu alikua na Phd? Mungu akikuongoa huhitaji PhdMalasusa ana PhD
Ukibaraka wake hapo nini?Kibaraka tu huyo!
Leo hatuzitaki PhD?..tumetambiwa sana hapa!Yesu alikua na Phd? Mwanafunzi yupi wa Yesu alikua na Phd? Mungu akikuongoa huhitaji Phd