lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,145
Malasusa ana PhD
Jua kutofautisha PhD ya kitabu na PhD za zawadi!
Malasusa ana PhD
Leo hatuzitaki PhD?..tumetambiwa sana hapa!
Malasusa ana PhD
Kule katoliki askofu kishamrukia lofa mmoja kwa kutoa maoni yake kwa Papa kuhusu kitimani maoni yake na ana haki ya kutoa maoni yake bila ya kutishiwa kukatwa kichwa au kuwa na hofu juu ya familia yake kuuliwa au kutengwa popote pale, hiyo ndiyo Christianity, freedom of speech ...
Unataka wawe na impact kweye usaliti wa nchi yao? Wale TEC kinachowatesa ni roho mbaya. Na bado hadi wapasuke.KKKT chini ya malasusa ni mlenda tu, hawana impact kubwa kama TEC. Yule mkeikeitii wa karagwe ndiye pekee yuko radical na regime, anaisulubu. Yule baba wa karagwe kama angekuwa mkuu wa kkkt muziki ungesaundi kivingine kabisa
Kule katoliki askofu kishamrukia lofa mmoja kwa kutoa maoni yake kwa Papa kuhusu kitima
No, askofu kaonesha udikteta,hataki watu watoe maoni asiyopenda,so ukristo hauna free speechyeah lkn yanabakia maneno tu na hakuna matendo, kuelezea hisia kunaruhusiwa ni sehemu ya demokrasia lkn hawezi tishia kumkata kichwa au kumaliza familia yake kama muslims wafanyavyo ...
TEC ni ya moto mjuba, wameamua kunyooka. Hao KKKT wao wameamua kuwa baridi kabisa, bora hata wangekuwa vuguvuguUnataka wawe na impact kweye usaliti wa nchi yao? Wale TEC kinachowatesa ni roho mbaya. Na bado hadi wapasuke.
..ya uchawa.Malasusa ana PhD
Majaliwa ya mungu allah! Sio! mnauwa wananchi wa nchi yenu wenyewe kisa madaraka, furaha gani sasa mliyo nayo? mama yenu ndio huyo kutwa kujificha ficha nafsi inamsuta ina msumbua ,roho za watu zina muandama pressure kila wakati inapanda , ana amani gani ya moyo sasa pale alipo? Kulinda nchi ni kuua wananchi wako ambao hawakuwa hata na manati!?, mama yenu na kundi lake wanaongozwa na chuki za kidini na waliaminishana kuwa waandamanaji ni wakristo hasa wakatoliki na CHADEMA kumbe hali haikuwa hivyo, sasa hata wana CCM wenyewe hawana aman na chama chao.😆😆 Sawa,yote majaaliwa ya manani
Uhalifu wa hivyo ulistahili kuua maelfu kisa hicho kidole kimoja?serikali ilishindwa kutafuta watuhumiwa ? Hicho kidole kimoja kina kuuma kuliko makumi ya watu walio kuwa wanatekwa kwa kuuawa kabla hata ya uchaguzi?hali iliyo hochea hayo maandamano kuwepo? Kwani haki ingetendeka ,utekaji na mauaji visinge kuwepo tungefikia huko kwenye kukatana vidole.? Msijifanye mnangaika na tatizo halafu mnajifanya hamjui chanzo cha tatizo mikundu nyie😆😆 Sawa,yote majaaliwa ya man
Kidole kimoja?..hiyo ni ishara ya kilichokua kikiendelea,zuwia uchaguzi Ili pasiwe na serikali,so Fanya vurugu indefinitely mpaka aondokeUhalifu wa hivyo ulistahili kuua maelfu kisa hicho kidole kimoja?serikali ilishindwa kutafuta watuhumiwa ? Hicho kidole kimoja kina kuuma kuliko makumi ya watu walio kuwa wanatekwa kwa kuuawa kabla hata ya uchaguzi?hali iliyo hochea hayo maandamano kuwepo? Kwani haki ingetendeka ,utekaji na mauaji visinge kuwepo tungefikia huko kwenye kukatana vidole.? Msijifanye mnangaika na tatizo halafu mnajifanya hamjui chanzo cha tatizo mikundu nyie
Ivi kupora uchaguzi mtu mwenye maadili akae kimya,kuua watu elfu 23 plus jamii ifurahie na icheke dictator samuya mama Malaya mama mshenzi anaupiga mwingi, au jamii yake wanafirwa ,wanabakwa ,wanalawiti na wanaua tufurahie upumbavu na usenge wa Samia na washenzi wenzake,au nini maana ya jamii kufurahia kuwa na amani au ni kuwafurahia ******* wafurahie watu kuuawa na wacheke??,jibu moja watalipa makosa yao wapambe ,machawa,na wauaji wakina Samia na jeshi lao,hata kwa kisasi cha damu.Nchi haitatulia kamweKatika kile kinachoonekana kujibu mapigo ya maaskofu wa kanisa lile walioamua kuwa wanasiasa,askofu dkt malasusa amesema kuna watu hawapendezwi na jamii kukaa kwa amani
Wale wa kanisa lile wameshindwa kung'amua kuwa huwezi tafuta haki pahala pasipo amani,licha ya kusifiwa kuwa na elimu za chuo kikuu tena kuukuu, ilhali masheikh wasio hata na elimu ya a level kirahisi wameng'amua hilo
Katika Misa za noeli, viongozi hao wameonekana kusisitiza kupigania haki,wakidai kushindwa 'kutoka' na kupigania haki kwa mkiristo si sawa
===
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT) na Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Askofu, Dk. Alex Malasusa amekemea tabia za baadhi ya watu za kuchafua taswira za watu wengine, pamoja na kuichonganisha jamii.
Ameyasema hayo leo katika ibada ya Sikukuu ya krismasi iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Azania Front jijini Dar es Salaam.
“Kuna watu wakiona jamii imekaa pamoja kwa amani wao inawakosesha raha.”
Source NIPASHE Digital
Miili ya watu 23k Iko wapi?.. halafu kaeni mje na namba moja,mara 10k mara 23kI
Ivi kupora uchaguzi mtu mwenye maadili akae kimya,kuua watu elfu 23 plus jamii ifurahie na icheke dictator samuya mama Malaya mama mshenzi anaupiga mwingi, au jamii yake wanafirwa ,wanabakwa ,wanalawiti na wanaua tufurahie upumbavu na usenge wa Samia na washenzi wenzake,au nini maana ya jamii kufurahia kuwa na amani au ni kuwafurahia ******* wafurahie watu kuuawa na wacheke??,jibu moja watalipa makosa yao wapambe ,machawa,na wauaji wakina Samia na jeshi lao,hata kwa kisasi cha damu.Nchi haitatulia kamwe
Na wingi wa matamko unatokana na kushindwa kuongoza kifupi waislam ndio mnao felisha hii nchi kusonga mbele kila awamu mkishika ninyi hii nchi basi ni ufisadi ,wizi, matumizi mabaya ya fedha za umma na mambo ya hovyo kibao sasa mnataka watu wakae kimya kisa ni waislam? Kwani mfano kusinge kuwa na utekaji na mauaji ya mchana kweupe kama ilivyo awamu hii ambao nadhani umevunja rekodi ya awamu zote hayo matamko yangetoka wapi?😆😆 Sawa,yote majaaliwa ya man
Kwanini wananchi wasisikilizwe wanacho taka ikiwa unataka uchaguliwe na wao wenyewe ili uwaongoze?kwani ni nani aliwadanganya kwamba madai yeyote ya kudai haki basi ni ya upinzani na sio wananchi, kwani wananchi ni kina nani? Kwanini udhulumu haki yao ya kuchagua viongozi wanao wataka?kwani uchaguzi ukiwa huru na haki na kila mtu akaona hilo, nani angetoa waraka au kuandamana? Mnakata watu walio chaguo la wananchi, mnawaengua kwa visingizio vya hovyo, mnalazimisha uchaguzi na kuwataka wananchi kuchagua viongozi ambao kiukweli kabisa si chaguo lao,Na wakikataa kwenda kwenye uchaguzi mna weka kura bandia na mnajitangazia ushindi kwa mtutu wa bunduki , halafu wananchi hao hao waki react mnawaua bila huruma wala utu na eti mnaanza kutafuta chanzo cha vurugu mnaakili kweli nyie mikundu?Kidole kimoja?..hiyo ni ishara ya kilichokua kikiendelea,zuwia uchaguzi Ili pasiwe na serikali,so Fanya vurugu indefinitely mpaka aondoke
Mwendokasi siyo kidole kimoja
Yale ni mapinduzi na yalikutana na response stahiki
Ulishaona wanachokisoma wana theolojia?Hizo hazihesabiki mkuu
Theolojia ni sio ELIMU inayokuwezesha kuchanganua mambo ya kisiasa na nchi
Iko makabuli ya kondoMiili ya watu 23k Iko wapi?.. halafu kaeni mje na namba moja,mara 10k mara 23k
Uchaguzi uporwe wakati hamkushiriki?..wewe ulipiga kura?