Askofu Malasusa: Kuna watu jamii ikikaa kwa amani wanaumia

KKKT chini ya malasusa ni mlenda tu, hawana impact kubwa kama TEC. Yule mkeikeitii wa karagwe ndiye pekee yuko radical na regime, anaisulubu. Yule baba wa karagwe kama angekuwa mkuu wa kkkt muziki ungesaundi kivingine kabisa
 
Malasusa akiongeaga anapuuzwaga huyu baba, anahesabika si mnyoofu wa moyo, analisha tu upepo. Unaongoza watu halafu wanakuona si poa, upo upo tu kuwazuga
 
Umbea wa akina Kimbesa na nduguze
 
Huyo si Askofu ni Chawa wa ccm!!!
 
Amani ipi anayoingelea?

Ya yeye kufanya zengwe kwenye uchaguzi wa kuwa mkuu wa Askofu au mauaji ya MO29?
 
Amekwisha ongea Judge Sinde Warioba, mtu na nusu. Hana waa wala tuhuma.
Alishaseman Mwl JK Nyerere kuwa "Amani ni tunda la haki" ama haki yenyewe ikiwepo, au kuna matumaini ya kuwepo uongozi unaojali HAKI"
Kwa hiyo ukiona amani(tunda) haipo ujue shina( HAKI) limenyauka. Mtu mwenye akili atahangaika kuweka mbolea, maji, n.k kwenye shina.
Sasa Malasusa na wenzie wako busy kulalamikia tunda.
 
Kwamba kuna watu hawapendi amani?? Kweli Malasusa unaweza kusema hivi kwa level yako kabisaaaa.
Kwa hiyo Mzee Malasusa, amani tafsiri yako ni nini??
 
Huyo ni chawa anajulikana kitambo. Bagonza alimtumia ujumbe aache kula rushwa za CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…