Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Pasaka ya spana hii, it time uchawa upigwe marufukuAskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo, akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, ametoa wito kwa Watendaji wa Serikali kuto mdanganya Rais kwa kumwambia 'Mama hatukudai' wakati kuna mahali barabara hazipitiki.
Catholic Wana Akili nyingi Sana hawa watu nitaendelea kuwaheshimu Hadi siku ya mwisho.
Ila huyu ni Mlutheri.
Hao wote nawakubali SanaIla huyu ni Mlutheri.
Enzi ile ilikuwa askofu shoo sasa safari yupo mamluki wao MALASUSA hana maanaWalutheri pia wapo vizuri. Hata wakati wa utawala wa marehemu, walitoa waraka mkali sana kukemea mambo yanayodhulumu haki za wananchi.
Ila safari hii sidhani kama wanaweza kuthubutu, maana watawala wamefanikiwa kumweka mtu wao kwenye uongozi wa Kanisa la KKKT.
Masaai huyuMangi walio wengi wanajielewa