Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Kwer huu bilakukosea ndio ule msemo wa waraka wa Amani unaporomoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuu! Bandari ipi hiyo inauzwa kwa Waarabu?Askofu Maximilian Machumu akiwa miongoni mwa aliyeshiriki mkutano wa Temeke kupingwa uuzwaji wa bandari za nchi kwa waarabu maisha yake yapo hatarini
Baada ya mkutano wa juzi watu wasiojulikana walimfuata kwake Kibaha hawakumkuta, Walipomkosa walienda ofisini kwake kuvunja mipango na madirisha ila hawakumkuta
....
Dr.slaa
My take
Watanganyika tuamke, kama hadi viongozi wa dini wanatishiwa maisha vipi kwa sisi wananchi wa kawaida?
Maisha ya askofu kuwa hatarini kwasababu ya kupinga bandari kuuzwa sio inshara nzuri
Taifa litaanguka
Serikali isianze kuharibu amani ya nchi ilyojengwa na Nyerere
Mama iko kilemba kichwani kinakupa uzito akili inagoma kucharge haraka ipi bandari hiyo usiyoijua😂Duuuu! Bandari ipi hiyo inauzwa kwa Waarabu?
Siijuwi bandari inayouzwa inayotaka kumuuwa huyo askofu. Askofu wa kanisa lipi?Mama iko kilemba kichwani kinakupa uzito akili inagoma kucharge haraka ipi bandari hiyo usiyoijua😂
😂😂😂😂Muulize mtoa uzi maana swali gumu!Siijuwi bandari inayouzwa inayotaka kumuuwa huyo askofu. Askofu wa kanisa lipi?
Wanamdai?
Kwa hadaa waliofanya hawa warabu hawatufai. Wana kila sifa ya udhulumatiHizi sarakasi mie sizielew mara kupinga bandari kuuzwa kwa muarabu mara mwarabu sio mbaya vipengele vya mkataba virekebishwe Jamani kwani tatizo ni mkataba urekebishwe au mwarabu hatakiwi
Huna akiliMwambieni huyo “askofu” ajiripue ubelgiji kama mwenzake[emoji1787][emoji1787]
Yaani huoni aibu kuzugumuza upuzi wako!! Wengine mna laana za wazazi wenu!Mwambieni huyo “askofu” ajiripue ubelgiji kama mwenzake[emoji1787][emoji1787]
Ninayo.
Mbona unabwatuka hovyo?Yaani huoni aibu kuzugumuza upuzi wako!! Wengine mna laana za wazazi wenu!
Kuwa na akili basi bwashee, hata kwa Ben Sanane mlisema hivi hivi, kuwa basi muelewa kwani ukiwa chawa ni lazima kila kitu upinge wakati hata uwezo wa kufikiri kwako unaona kabisa ni mdogoAna u-special gani mpaka atishiwe? Yaani mtu Kala zake viporo huko halafu anakuja kuleta Kiki za kishamba hapa.
Kwa hiyo na huyo askofu Naye katukana degree za magufuli?Kuwa na akili basi bwashee, hata kwa Ben Sanane mlisema hivi hivi, kuwa basi muelewa kwani ukiwa chawa ni lazima kila kitu upinge wakati hata uwezo wa kufikiri kwako unaona kabisa ni mdogo
Kwani Magufuli naye alikuwa ni msomi wa degree? Jamani Tanganyika yangu mtu hata kiingereza tu cha kuombea maji hakujua duhKwa hiyo na huyo askofu Naye katukana degree za magufuli?