Tetesi: Askofu Maximilian Machumu anatishiwa maisha kutokana na kupinga bandari kuuzwa kwa Waarabu

Tetesi: Askofu Maximilian Machumu anatishiwa maisha kutokana na kupinga bandari kuuzwa kwa Waarabu

Mavi ya mbuzi. 🤣🤣
Ati "tuko tayari kufa"
We kweli muimba mchiriku unaweza kusimama mbele ya wanamme waliokuwa tayari kupambana ukatamka hivi?
Nani amekuachia urithi wa bandari mmakonde km wewe? Na nani amekudanganya kuwa Bandarini inauzwa!
Andiko linasema " watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Soma nini umeandika kabla ya kugonga "post "
Ninajua nilichokiandika. Sisi watanzania hatukumpa mtu ridhaa ya kutuongoza na kusimamia nchi ili naye akagawe mamlaka kwa mtu wa nchi nyingine. Akifanya hivi, basi hakukuwa na maana ya kudai uhuru. Ingetufaa tumwachie mzungu atusimamie milele. Kasome waraka wa maaskofu. Ujumbe wao ndio huo. Tusikubali mamlaka ya nchi kuchezewa kwa kigezo cha pesa ama uwekezaji.
 
Mamlaka yapi ya nchi unayodai yanauzwa.
Bandari ni moja tu ktk vitega uchumi vingi nchini na anapewa muwekezaji KUWEKEZA sio kununua.
Hivi nyie watu wakati wengine wanakwenda shule mlikuwa wapi?
Muwekezaji yupi awekeze Billions of dollars kisha aweke masharti mbuzi?
Na waafrika tusivyokuwa na msimamo na tabia za kinafiki lzm muwekezaji yyt aweke masharti magumu.

Tukikataa nyie wanavijiji mtaendelea kulalamikia njaa mpk siku Yesu anarudi.
Hamna uwezo wwt wa kuilazimisha serikali ifanye mtakavyo.
Mkataba lzm upitishwe.
Kubali kataa.
 
Sasa si watatuua wote kwa style hii hahah
 
Hizi sarakasi mie sizielew mara kupinga bandari kuuzwa kwa muarabu mara mwarabu sio mbaya vipengele vya mkataba virekebishwe Jamani kwani tatizo ni mkataba urekebishwe au mwarabu hatakiwi
Mkataba haupo sawa... Urekebishwe ufanane na mikataba yenye masilahi kwa nchi. Hii itasaidia kutokuingia gharama ya kuvunja mkataba akija rais mwingine siku zijazo
 
Back
Top Bottom