The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,572
Ninajua nilichokiandika. Sisi watanzania hatukumpa mtu ridhaa ya kutuongoza na kusimamia nchi ili naye akagawe mamlaka kwa mtu wa nchi nyingine. Akifanya hivi, basi hakukuwa na maana ya kudai uhuru. Ingetufaa tumwachie mzungu atusimamie milele. Kasome waraka wa maaskofu. Ujumbe wao ndio huo. Tusikubali mamlaka ya nchi kuchezewa kwa kigezo cha pesa ama uwekezaji.Mavi ya mbuzi. 🤣🤣
Ati "tuko tayari kufa"
We kweli muimba mchiriku unaweza kusimama mbele ya wanamme waliokuwa tayari kupambana ukatamka hivi?
Nani amekuachia urithi wa bandari mmakonde km wewe? Na nani amekudanganya kuwa Bandarini inauzwa!
Andiko linasema " watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Soma nini umeandika kabla ya kugonga "post "