Askofu mfufua wafu aliyeiba kura za wapinzani ni nani?

Askofu mfufua wafu aliyeiba kura za wapinzani ni nani?

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Kwenye wimbo wa nipeni maua yangu wa msanii Roma kuna mstari unasema hivi: Askofu mfufua wafu anaiba kura za mpinzani atashindwaje kuiba sadaka za waumini kanisani.

Mchungaji akitaka gari twamchangia muumini akitaka gari twamuombea, basi mchungaji tusimpe sadaka tuombee tukae pale tushuhudie miujiza ya wagalatia.

Huu msitari ulikuwa unamlenga nani?
 
Back
Top Bottom