KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 875
Usiku wa Kuamukia leo Askof Mulilenge Mkombo wa Kanisa la House of Prayers Boko Magengeni DSM amevunja Duka la Mama Abeid na Kuchukua mali za duka.
Taarifa zina onyesha kwamba Mama Abeid ni Muumini wa Askof Mkombo na sambamba na hili aliingia mkataba na kanisa wa kujenga jengo hilo lenye thamani ya 30m kwa makubaliano ya kufanya biashara kwa miaka mitano.
Kutokana na Kashifa za Ngono zinazo mhusu Askofu Mkombo na mke mdogo Greener (Mhasibu Ilala na Mwanafunzi wa Mzumbe tawi la DSM) ndugu wa Mama Abeid wamehama katika kanisa hilo.
Sambamba na famili hiyo pia kundi kubwa limekimbia hapo akiwemo MC Subi Mwaisumo.Jana Askofu Mkombo alimwita Mama Abeid na kumhoji ni kwa nini yeye na familia yake hawaonekani kanisani???
Majira ya saa Mbili Usiku Askofu Mkombo na Mke mdogo Greener waliamua Kufunga duka la mama Abeid kwa kufuli lao ,kitendo kilichosababisha Polisi 8 wakiwa na silaha kufika hapo kwa usalama.
Polisi walipo sikiliza pande mbili waka amuru duka lifunguliwe haraka lakini Askofu Mkombo akakataa na kutaka kupigana na polisi!!!
Jambo la Kushangaza Askofu Mkombo alimkunja Polisi aliyekuwa na silaha na kumwambia aondoke katika eneo lake kwa kuwa hana kibali cha kuingia katika eneo lake analo miliki .Mama Abeid ameshuhudia tukio la kukunjwa polisi na kushanga sana!!!!
Poilis wakatumia mbinu zao na kufanikiwa kufungua duka hilo na kuacha eneo likwa salama.
Majira ya Usiku wa manane Askofu Mkombo alikodi kundi la mafia na kwenda kuvunja duka hilo na kuondoa mali zote ambapo hazijulikani ziliko.
Leo ni jumapaili ameamulisha waumini waanze kuomba ili mama Abeid afe !!!!
Taarifa zipo polisi wazo Hili wana haha cha kufanya kwa kuwa hili ni tukio la pili kwa utekaji baada ya kuwakamata waandishi wa NIPASHE na Kuwafunga Minyororo kabla ya kuanza kuwapiga kama Umbwa!!!
Source : Mwenye duka ( Mama Abeid) (0715 448519)
Mplelezi wa kesi Hii anaitwa Martin na anapatikana katika simu:0653 284840 na 0754 606031