Askofu Mkombo(Ktoka DRC) amevunja Duka Usiku wa Kuamukia Leo!!!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
875
Usiku wa Kuamukia leo Askof Mulilenge Mkombo wa Kanisa la House of Prayers Boko Magengeni DSM amevunja Duka la Mama Abeid na Kuchukua mali za duka.
Taarifa zina onyesha kwamba Mama Abeid ni Muumini wa Askof Mkombo na sambamba na hili aliingia mkataba na kanisa wa kujenga jengo hilo lenye thamani ya 30m kwa makubaliano ya kufanya biashara kwa miaka mitano.

Kutokana na Kashifa za Ngono zinazo mhusu Askofu Mkombo na mke mdogo Greener (Mhasibu Ilala na Mwanafunzi wa Mzumbe tawi la DSM) ndugu wa Mama Abeid wamehama katika kanisa hilo.

Sambamba na famili hiyo pia kundi kubwa limekimbia hapo akiwemo MC Subi Mwaisumo.Jana Askofu Mkombo alimwita Mama Abeid na kumhoji ni kwa nini yeye na familia yake hawaonekani kanisani???

Majira ya saa Mbili Usiku Askofu Mkombo na Mke mdogo Greener waliamua Kufunga duka la mama Abeid kwa kufuli lao ,kitendo kilichosababisha Polisi 8 wakiwa na silaha kufika hapo kwa usalama.

Polisi walipo sikiliza pande mbili waka amuru duka lifunguliwe haraka lakini Askofu Mkombo akakataa na kutaka kupigana na polisi!!!
Jambo la Kushangaza Askofu Mkombo alimkunja Polisi aliyekuwa na silaha na kumwambia aondoke katika eneo lake kwa kuwa hana kibali cha kuingia katika eneo lake analo miliki .Mama Abeid ameshuhudia tukio la kukunjwa polisi na kushanga sana!!!!

Poilis wakatumia mbinu zao na kufanikiwa kufungua duka hilo na kuacha eneo likwa salama.

Majira ya Usiku wa manane Askofu Mkombo alikodi kundi la mafia na kwenda kuvunja duka hilo na kuondoa mali zote ambapo hazijulikani ziliko.
Leo ni jumapaili ameamulisha waumini waanze kuomba ili mama Abeid afe !!!!

Taarifa zipo polisi wazo Hili wana haha cha kufanya kwa kuwa hili ni tukio la pili kwa utekaji baada ya kuwakamata waandishi wa NIPASHE na Kuwafunga Minyororo kabla ya kuanza kuwapiga kama Umbwa!!!

Source : Mwenye duka ( Mama Abeid) (0715 448519)
Mplelezi wa kesi Hii anaitwa Martin na anapatikana katika simu:0653 284840 na 0754 606031
 
hizi ni habari za kupakana matope bila shaka. tatizo sasa hivi kila mtu anajiita askofu. je anayo fimbo ya askofu?. mia
 
Sio mageni haya kwa maaskofu. Next 'nabii na mtume mkuu' mwingira!
 
Dini zakuunga unga utaziona2 dhuma huta wala naamani hupotea, lakini kwakua kafanya mkirsto hauta ckia huyo padri kasima mishwa kizimbani wala nini yataisha kimya kimya na ikibidi serikali ita muomba msamaa bila kujali tendo alicho fanya nikinyume cha sheria, ila sasa hapo ange fanya mslim mtu kama ponda, Basaleh, nk vyombo vyahabari vyote vinge ponda humu ndani ndio ucseme kila mgala ange lalamikia ugaidi bila kujua waondio wa a fuga magaid mfno huyo mconga kwanini hilo kanisa acnge fungua kwao? Au hamna waumini? Mfano mwengine ni mwaka jana serikali ilipo mkamata padri waki nigeria kwakosa la cocen hatacjui ele kesi iliishaje hiindiyo serikali ya mfumo cristo! Mcongo atoke kwake aje kumnyanya mtanzani kwenye ardh yake kisa kwanini asali kanisani kwake atake kupigana na polic kisa yeye padri akaidi amri ya polic kisa yeye mcristo. Nawaomba wahusika wali shuulikie hili jambo kwamakini wenda akwa ana shughulika na biashara kharam kama mihadarati na siraa, nihayo2
 
Naona hata hujielewi...
 
Rudini Kwenye makanisa asilia sio Hao wafanyabiashara, Au Upagani sio dhambi pia.

Sio makanisa asili bali ni makanisa yalikwisha vuka umri wa 'puberty'. Dini zote zilianza na ujinga kama huo, nadhani ndio sababu Mungu hakuumba 'madhehebu'
 
  • Thanks
Reactions: Aza
OMG!!! Askofu toka kongo? Atakuwa mjasiriamali huyu bila shaka. Kweli watanzania wame under go evolution
 
Binadamu tunatakiwa tutulie mtu umezaliwa lutheran au katoliki iweje anajitokeza mtu anaanzisha kanisa lake unamfua kwani yeye ana mungu wa tofauti.
 
Dini zakuunga unga utaziona2 dhuma huta wala naamani hupotea, lakini kwakua kafanya mkirsto hauta ckia huyo padri kasima mishwa kizimbani wala nini yataisha kimya kimya na ikibidi serikali ita muomba msamaa bila kujali tendo alicho fanya nikinyume cha sheria, ila sasa hapo ange fanya mslim mtu kama ponda, Basaleh, nk vyombo vyahabari vyote vinge ponda humu ndani ndio ucseme kila mgala ange lalamikia ugaidi bila kujua waondio wa a fuga magaid mfno huyo mconga kwanini hilo kanisa acnge fungua kwao? Au hamna waumini? Mfano mwengine ni mwaka jana serikali ilipo mkamata padri waki nigeria kwakosa la cocen hatacjui ele kesi iliishaje hiindiyo serikali ya mfumo cristo! Mcongo atoke kwake aje kumnyanya mtanzani kwenye ardh yake kisa kwanini asali kanisani kwake atake kupigana na polic kisa yeye padri akaidi amri ya polic kisa yeye mcristo. Nawaomba wahusika wali shuulikie hili jambo kwamakini wenda akwa ana shughulika na biashara kharam kama mihadarati na siraa, nihayo2

Inaonekana una bifu na mapadri, huyo umeambiwa ni askofu........!!
 
Kweli imani hupofusha waamini. Inakuwaje watu wanaambiwa wamwombee mwenzao afe?? Do you call this religion? It is nothing but stupidity of the highest order!!
 
Hawa maaskofu wa uongo wana sifa za kuwaru buni waumini wao mali. Tujiulize ni kitu gani kimewatoa Congo, Zambia n.k. kuja kuhubiri dini hapa wakati kuna makanisa? Mara nyingi huja kutafuta mali na wanajua saikolojia kuwa wao kama wageni wana mvuto fulani wa kuonyesha upande mwingine ambao wenyeji hawaujui. Ni rahisi kuwatambua kutokana na staili yao ya maisha, kiendesha magari ya kifahari, kuvaa nguo za thamani na kuvaa vito vya thamani. Tuepuke manabii hao wa uongo!

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Kama vp 2mshtaki kwa M23,mana nina namba za kamanda wao mkuu
 
Dini zakuunga unga utaziona2 dhuma huta wala naamani hupotea, lakini kwakua kafanya mkirsto hauta ckia huyo padri kasima mishwa kizimbani wala nini yataisha kimya kimya na ikibidi serikali ita muomba msamaa bila kujali tendo alicho fanya nikinyume cha sheria, ila sasa hapo ange fanya mslim mtu kama ponda, Basaleh, nk vyombo vyahabari vyote vinge ponda humu ndani ndio ucseme kila mgala ange lalamikia ugaidi bila kujua waondio wa a fuga magaid mfno huyo mconga kwanini hilo kanisa acnge fungua kwao? Au hamna waumini? Mfano mwengine ni mwaka jana serikali ilipo mkamata padri waki nigeria kwakosa la cocen hatacjui ele kesi iliishaje hiindiyo serikali ya mfumo cristo! Mcongo atoke kwake aje kumnyanya mtanzani kwenye ardh yake kisa kwanini asali kanisani kwake atake kupigana na polic kisa yeye padri akaidi amri ya polic kisa yeye mcristo. Nawaomba wahusika wali shuulikie hili jambo kwamakini wenda akwa ana shughulika na biashara kharam kama mihadarati na siraa, nihayo2

Habari za ukristo na uislam zinaingiaje hapa? Akili yako mbovu kama mtiririko wa uandishi wako ulivyo
 
Hivi ndugu zangu wakristo mbona mnakubali dini yenu kudhalilishwa hivi? Siku hizi kila kona kuna kanisa linamilikiwa na mtume mara nabii bado kidogo kuna mwehu atajiita YESU KRISTO afungue kanisa na yeye.

Hivi haya makanisa ya vichochoroni haya mara wanaombea maiti ifufuke,mara wamefumaniwa gest,mara wanauza madawa ya kulevya nyie mnaona poa tu?
Potelea mbali mtuite magaidi lakini sisi hatufugi kima aisee hata siku moja.
 
Je mtini huzaa mibaruti? utaweza kuchuma zabibu kwenye michongoma? kila mti utajulikana kwa matunda yake: ya kwamba ni machungu au matamu. Sina ukuu wa kuweza kumhukumu Askofu kwa hayo lakini ni juu ya waumini wake kupima hekima zilizoko katika kweli zilizofunuliwa ili waweze kuamua vyema kuhusu mustakabali wa Imani zao.
 
Back
Top Bottom