Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kesi yenyewe ni halali? Mbona ni waoga kusema ukweli?Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amevitaka vyombo vya utoaji haki nchini kuharakisha usikilizwaji wa kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuhakikisha suala hilo linamalizika kabla ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba.
Askofu Mlawi amesema kuna haja ya serikali kutafuta njia ya mazungumzo na kumsikiliza Tundu Lissu, badala ya kuendelea kusuguana naye mahakamani, jambo ambalo linatia doa katika sura ya demokrasia ya taifa.
Amesisitiza kuwa haki ya kisiasa ni msingi muhimu wa amani na maendeleo, hivyo serikali na vyombo vya sheria vina jukumu la kuhakikisha usawa na haki vinatendeka kwa wote bila upendeleo.
View attachment 3358962
Chanzo: Jambo TV
Alishatikiwa kwa kusema kitanuka kama sikosei....sio ishu ya NRNE...Mimi kuna jambo silielewi. Iwapo Tundu Lisu anastasia kwabugaini baada ya kusema "No Reforms No Election", mbona akina Heche na wenzao wanaendelea na mikutano ya kuhamaisha wananchi jambo hilo hilo "No Reforms No Election na nimetazama mikutano yao inalindwa na Askari polisi? Mbona wao hawajakamatwa kushtakiwa jwa kosa hilo?
Siyo "miaka ya mbele", mkuu 'Makoshoi'.Tatizo wao wanafikiri njia wanazotumia ndo zitawapa faida....ila wangejua mioyo ya binadamu wa kitanzania wangeacha ujinga wanaofanya maana for sure utakuja kuwagharimu hata kama ni maiaka ya mbele....
Ukiwa Mkiristo unaweza kusema Waislamu walizungumza kuhusu ndugu zao Wapo ndani miaka 10 na hakuna kesi Waliambiwa wanataka kuleta fujo na kupigwaYe kama nan au kwa mamlka gan alonayo
NRNEYe kama nan au kwa mamlka gan alonayo