Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Kwa ukatili dhidi ya binadamu lazima atasemwa mpaka milele tu!!Narudia tena kama Hitler anasemwa toka 1945 basi Magu anastahili kusemwa milele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ukatili dhidi ya binadamu lazima atasemwa mpaka milele tu!!Narudia tena kama Hitler anasemwa toka 1945 basi Magu anastahili kusemwa milele
Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana...
View attachment 1765034
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda...
Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe u - Spika kabla ya 2025...
Mbona mashambulizi dhidi yake yameachiliwa hivi...?
Hakika hivi sasa watu wanajiachia ile mbaya!Huu ndio uhuru wa habari. Watu hawazuiwi kusema yale yanayovuruga nchi!!
Watu walikuwa wanaogopa kudukuliwa! Mwendazake kwa kukili mwenyewe alikuwa anadukua mpaka Simu za mawaziri wake!!Hakika hivi sasa watu wanajiachia ile mbaya!
Enzi za Mwendazake ilikuwa ni ndoto kuona aina hii ya ukosoaji
Waliforge mpaka wakapitiliza njia!
Mwisho wakajikuta hakuna kambi ya zupinzani bungeni.
Ikabidi sasa waforge tena.
Mwalimu alisema ukila nyama ya mtu, utaendelea kula nyama ya mtu.
For good governance CHADEMA walipeleke suala hili mahakamani.
Maswali yote uliyojiuliza ni ya kipuuzi na wewe mwenyewe inaonyesha unamzungumzia askofu usiyemjua! ili kuthibitisha kuwa umeropoka jaribu kuweka majibu ya maswali uliyojiuliza!Mkuu,
Acha kubeba vitu na kuja kupachika hapa, huyo unayemwita askofu unakumbuka alianza kufanya vituko gani enzi za Jakaya Kikwete wakati huo akiwa mchungaji kanisa moja hapo Mkuyuni Mwanza njia ya kuelekea Butimba?
Unafahamu waumini wake walitaka kumfanya nini?
Unafahamu kuwa huyo alishawahi kuwa mlinzi wa kampuni moja na kuacha kazi hiyo kwa aibu?
Ukosoaji ulio imara na wenye tija ni ule unaotumia ufundi wa kung'arisha rangi ya chatu kwa mfumo wa picha jongefu wakati akihitahitaji mawindo!!
Huyo ni askofu wa mwili na nafsi sio ROHO na yeye analitambua hilo, muulize huko aliko USA, watu wanafahamu A to Z kuhusu huyo mtu aliyevaa kofia ya cowboy
Kuwataka Chadema wafuatilie barua imetoka wapi ni kuhamisha goli. Wajibu wa Chadema katika hilo ni mmoja tu, kuthibitisha kwamba wale Covid-19 walioko bungeni sio wanachama wa Chadema, basi. Kama Tanzania ina serikali kweli na ina vyombo vya dola, Chadema wanapaswa kuwa mashahidi kwenye issue ya kughushi ile barua. Usichofahamu ni nkwamba serikali yenyewe inafahamu kwamba ule ulikuwa mchezo mchafu. waliohusika kutengeneza huo mchezo, nikusaidie ni hawa. Mwita Waitara, Dk. Mashinji, Waziri Mkuu, Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi pamoja na Spika wa Bunge . Hawa ndio walishiriki kufanikisha huu upumbavu. Na kwa taarifa yako, miongoni mwa hao Covid-19 wamo ambao wala hawajawahi kuwa wanachama wa Chadema, bali ni watu ambao ni ama jamaa, ndugu, au michepuko ya akina Spika. Hili jambo kama lingechunguzwa tungeona uozo wa ajabu kuwahi kufanyika katika nchi hii. Kuna wakati unajiuliza hivi watu wanaomlilia Mwendazake wanafahamu kweli alikokuwa anaipeleka hii nchi? Katika kipindi cha Magufuli kuna mambo ya kihuni kupitiliza yalikuwa yakifanyika!Hivi Kwa nini Chadema hawakuifuatilia Ile Barua kutaka kujua ilikotokea??
Sawa, walimhofia Jiwe, leo hayupo, ni muda mwafaka wa kufahamu Barua Ile ilitokea wapi na Nani aliwaidhinisha wale wabunge wa Chadema kuingia bungeni
Kumbe hata Jk nae alikuwa anawshughulikia?Dogo maelezo yako sio sahihi. Huyu "Askofu" alikimbia kipindi cha JK. Na kilichomkimbiza ni ishu ya kukomalia eti na Wakristu wapewe haki ya kuchinja kama ilivyo kwa Waislamu. Aliishadidia sana hii ishu hasa kupitia "karedio" kake hapa Jijini Mwanza. Serikali ya JK ilipochoka naye ikataka "kumshughulikia" ndio akakimbia nchi hadi leo!
Ukikosoa namna hii mitandaoni special task force ilikufuatilia. Kama una bahati utaokotwa Unonio, kama huna bahati utaishia kwenye sandarusi baharini.Hakika hivi sasa watu wanajiachia ile mbaya!
Enzi za Mwendazake ilikuwa ni ndoto kuona aina hii ya ukosoaji
We utakuwepo milele ili hali ukiendelea na agenda moja tu hiyo ya kumsemaKwa ukatili dhidi ya binadamu lazima atasemwa mpaka milele tu!!
Inasaidia nini wakati wewe unasema wenzako wanaendelea kula posho za bungeniHakika hivi sasa watu wanajiachia ile mbaya!
Enzi za Mwendazake ilikuwa ni ndoto kuona aina hii ya ukosoaji
Mkuu, kumbe Una ushahidi kabisa, Wakati huohuo unataka kufanyike uchunguzi....! Kwa ushahidi huohuo mi nadhani, anzia hapohapo, peleka mahakamaniKuwataka Chadema wafuatilie barua imetoka wapi ni kuhamisha goli. Wajibu wa Chadema katika hilo ni mmoja tu, kuthibitisha kwamba wale Covid-19 walioko bungeni sio wanachama wa Chadema, basi. Kama Tanzania ina serikali kweli na ina vyombo vya dola, Chadema wanapaswa kuwa mashahidi kwenye issue ya kughushi ile barua. Usichofahamu ni nkwamba serikali yenyewe inafahamu kwamba ule ulikuwa mchezo mchafu. waliohusika kutengeneza huo mchezo, nikusaidie ni hawa. Mwita Waitara, Dk. Mashinji, Waziri Mkuu, Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi pamoja na Spika wa Bunge . Hawa ndio walishiriki kufanikisha huu upumbavu. Na kwa taarifa yako, miongoni mwa hao Covid-19 wamo ambao wala hawajawahi kuwa wanachama wa Chadema, bali ni watu ambao ni ama jamaa, ndugu, au michepuko ya akina Spika. Hili jambo kama lingechunguzwa tungeona uozo wa ajabu kuwahi kufanyika katika nchi hii. Kuna wakati unajiuliza hivi watu wanaomlilia Mwendazake wanafahamu kweli alikokuwa anaipeleka hii nchi? Katika kipindi cha Magufuli kuna mambo ya kihuni kupitiliza yalikuwa yakifanyika!
Ndugai hafai ni mtu hatari snMtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana...
View attachment 1765034
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda...
Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe u - Spika kabla ya 2025...
Mbona mashambulizi dhidi yake yameachiliwa hivi...?
Hakika hapo ndipo unapoona uwepo wa MUNGUJiwe limeoza, JPM alipigiwa dua nyingi Sana na yamemkuta, alitesa wengi.
Kuhusu subwoofer kutoka before 2025 msijali, Mungu ni bonge la fundi. Nadhani naeleweka.Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana...
View attachment 1765034
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda...
Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe u - Spika kabla ya 2025...
Mbona mashambulizi dhidi yake yameachiliwa hivi...?
Narudia tena kama Hitler anasemwa toka 1945 basi Magu anastahili kusemwa milele
Kuhusu kuwasema watu waliokufa kwa mazuri au kwa mabaya sijui imekatazwa wapi? Mbona CCM mpaka Leo mnatuaminisha Iddi Amin alikuwa anakula nyama za watu na hamkuwahi kutoa ushahidi?Acha uongo wako we kapuku, huyu askofu aliondoka Tanzania wakati wa Jakaya mwaka 2013 baada ya vurugu za kuchinja nyama baina ya waislamu na wakristo kuibuka. Kila kitu kusingizia watu waliokufa ni upuuzi.
Ishu ni kumsema marehemu au kusema ukweli?Kuhusu kuwasema watu waliokufa kwa mazuri au kwa mabaya sijui imekatazwa wapi? Mbona CCM mpaka Leo mnatuaminisha Iddi Amin alikuwa anakula nyama za watu na hamkuwahi kutoa ushahidi?