The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Askofu Bethania Mpembwa wa Kanisa la Neema ya Kitume Tanzania, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa Vijana wa kizazi cha kuanzia mwaka 2000 (Gen Z) ni tofauti na vijana wa mwaka 1961 wakati nchi ilipopata Uhuru.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Askofu Bethania amesema kuwa Vijana wa sasa wamesoma, wana uelewa mpana kutokana na utandawazi, na wanajitambua kuhusu haki na wajibu wao
Aidha, Askofu Bethania amesema kizazi hiki kinahitajika kuangaliwa kwa Umakini tena kwa kutimiziwa mahitaji yao kwa umakini pale inapobidi.