TANZIA Askofu Mstaafu wa Jimbo la Njombe, Raymond Mwanyika afariki dunia


Kiongozi mbona unajichanganya? Sasa mvivu wa kufikiri hapa nani? Kumbe hata huko Ulaya lilikoanzia kanisa (kwa mawazo yako Israel ni Ulaya, au kanisa halikuanzishwa na Yesu wa Nazareti?), umesema wamekuwa wakizika maaskofu makaburini! Kumbe ndio maana makanisa yao hayajageuka makaburi basi, au? Na huku Tanzania utamaduni wa kuzika askofu kanisani kauanzisha nani? Na utafiti wangu unaoongelea ni upi? Kumbe basi "utafiti" siyo "research" ndiyo maana unanituma nikafanye "research" kabla sijakurupuka kuongea kitu? Hongera mtafiti! Mimi nimetoa angalizo tu kutokana na trend niliyosimuliwa kuwa pale Moshi kuna kanisa moja ambalo katika muda wa miaka kama 30 hivi tayari lina makaburi 3 ya maaskofu ndani yake, kwa hiyo prediction yangu ni kuwa trend ikiendelea hivyo miaka 30 mingine si ajabu kukawa na makaburi 6 ndani, na hapo neno cemetery litakuwa sahihi kutumiwa, au bado unabisha mheshimiwa?
 

Ndani ya Kanisa katoliki mwisho ni maaskofu watatu,wengine huzikwa nje
 
Achana naye amefungwa na dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…