Uchaguzi 2020 Askofu: Mwaka 2020, Kulikuwa na Wizi Mkubwa wa Kura

Ule ulikua upolaji wa kura na sio wizi.wapinzani walitakiwa wasishiriki kwenye uchaguzi ule.maana ccm walianza kupolana wenyewe mapemaa...

Maana tumeona kuanzia kwenye kura za chama za ndani.anashinda mwingine lakini anawekwa mwingine.c ndio maana unaona hata kina kimei wanaona aibu kujitokeza.

Kwasabu ya kuwekwa bila ya kupendwa na wananchi.
 
Katika wote waligombea nafasi za ubunge kupitia CCM, robo tatu yao ni wale ambao hawakuchaguliwa na wajumbe. Marehemu aliwakata washindi, akawapachika watu wake. Walioshinda na wajumbe waliowapigia, ni miongoni mwa wa watakaokuwa wanalaani uongozi wa marehemu hata ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom