Uchaguzi 2020 Askofu: Mwaka 2020, Kulikuwa na Wizi Mkubwa wa Kura

Uchaguzi 2020 Askofu: Mwaka 2020, Kulikuwa na Wizi Mkubwa wa Kura

Huyu nae mnafiq mkubwa, kama mtu wa Mungu alipaswa kiyasema haya kabla ya Magufuli kuwa hayati.
 
Sikiliza mchango wa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki, akieleza mambo machafu yaliyofanywa na utawala wa awamu ya 5 kupora haki ya wananchi kupata viongozi wanaowataka.

Huyu Mchungaji amemchana Mtungi live akabai anatoa macho tu.
 
Sikiliza mchango wa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki, akieleza mambo machafu yaliyofanywa na utawala wa awamu ya 5 kupora haki ya wananchi kupata viongozi wanaowataka.

Wee kenge kweli huyo ni Askofu? Usilinganishe fanya tafiti kwanza kabla ya ku post habari ya vitu usio na uelewa navyo
 
Hawakwenda mahakamani kwa sababu wakati wa dikteta, hakuna chombo kilichokuwa kinafanya kazi kwa weledi.
Siyo wakati wa dikteta tu, bali mpaka sasa! Kesi ya ugaidi ilitoka wapi? Iliendeshwaje? Ilimalizikaje? Labda kama kulikuwa na kunong'onezana, "sorry"!
 
Ule haukuwa wizi tena, ulifikia hatua ya juu, unaitwa UPORAJI.
 
Wee kenge kweli huyo ni Askofu? Usilinganishe fanya tafiti kwanza kabla ya ku post habari ya vitu usio na uelewa navyo
Wewe ndiyo hopeless kabisa. Wapi nimesema ni Askofu? Huyo ni katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki TEC.

Uwe unasoma kabla ya kurukia kujibu.
 
Siyo wakati wa dikteta tu, bali mpaka sasa! Kesi ya ugaidi ilitoka wapi? Iliendeshwaje? Ilimalizikaje? Labda kama kulikuwa na kunong'onezana, "sorry"!
Upo sahihi. Mahakama, mpaka sasa, bado ina wale majaji fake wengi toka TISS, aliowateua kwenda kuua mfumo wa mahakama.
 
Wewe ndiyo hopeless kabisa. Wapi nimesema ni Askofu? Huyo ni katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki TEC.

Uwe unasoma kabla ya kurukia kujibu.
Hicho kichwa cha habari umeandikiwa wewe panzi? Je! Hujui kichwa cha habari ndio hubeba maana ya habari nzima ?Hivi katibu wa mbunge naye ni mbunge?

Katafute maana na tofauti ya vyeo vifuatavyo katika kanisa na sifa zao

✝️ Baba mtakatifu

✝️Kardinali

✝️Askofu mkuu

✝️ Askofu

✝️ Abate

✝️ Padre

✝️ Paroko

✝️ Shemasi

✝️ Frateri

✝️ Katekista
 
Back
Top Bottom