Uzuri majibu unayo.Wangejaribu tuone kama wangekataliwa
aUzuri majibu unayo.
Huyu Mchungaji amemchana Mtungi live akabai anatoa macho tu.Sikiliza mchango wa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki, akieleza mambo machafu yaliyofanywa na utawala wa awamu ya 5 kupora haki ya wananchi kupata viongozi wanaowataka.
Wee kenge kweli huyo ni Askofu? Usilinganishe fanya tafiti kwanza kabla ya ku post habari ya vitu usio na uelewa navyoSikiliza mchango wa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki, akieleza mambo machafu yaliyofanywa na utawala wa awamu ya 5 kupora haki ya wananchi kupata viongozi wanaowataka.
Siyo wakati wa dikteta tu, bali mpaka sasa! Kesi ya ugaidi ilitoka wapi? Iliendeshwaje? Ilimalizikaje? Labda kama kulikuwa na kunong'onezana, "sorry"!Hawakwenda mahakamani kwa sababu wakati wa dikteta, hakuna chombo kilichokuwa kinafanya kazi kwa weledi.
Wewe ndiyo hopeless kabisa. Wapi nimesema ni Askofu? Huyo ni katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki TEC.Wee kenge kweli huyo ni Askofu? Usilinganishe fanya tafiti kwanza kabla ya ku post habari ya vitu usio na uelewa navyo
Upo sahihi. Mahakama, mpaka sasa, bado ina wale majaji fake wengi toka TISS, aliowateua kwenda kuua mfumo wa mahakama.Siyo wakati wa dikteta tu, bali mpaka sasa! Kesi ya ugaidi ilitoka wapi? Iliendeshwaje? Ilimalizikaje? Labda kama kulikuwa na kunong'onezana, "sorry"!
Hicho kichwa cha habari umeandikiwa wewe panzi? Je! Hujui kichwa cha habari ndio hubeba maana ya habari nzima ?Hivi katibu wa mbunge naye ni mbunge?Wewe ndiyo hopeless kabisa. Wapi nimesema ni Askofu? Huyo ni katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki TEC.
Uwe unasoma kabla ya kurukia kujibu.