Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania
ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi
na kuelezea kuwa tukio limetokea katikati ya wiki au mwezi ambapo kanisa limetoa waraka kuhusu masuala ya utekaji
View: https://youtu.be/qfGQGL-loho