Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
AmenNo Reforms No Election
ndiyo mpango mzima
Ukweli usemweMwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania
ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi
na kuelezea kuwa tukio limetokea katikati ya wiki au mwezi ambapo kanisa limetoa waraka kuhusu masuala ya utekaji
View: https://youtu.be/qfGQGL-loho
Hii ndio single ya mwaka huuNo Reforms No Election
ndiyo mpango mzima
Itakuwa ni unafiki tuBila haki hakuna amani ya ukweli
Inakuwa amani mchongoItakuwa ni unafiki tu
Hivi Kanisa la Askofu Mwamakula lipo wapi Jumapili hii nikasali hapo?Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania
ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi
na kuelezea kuwa tukio limetokea katikati ya wiki au mwezi ambapo kanisa limetoa waraka kuhusu masuala ya utekaji
View: https://youtu.be/qfGQGL-loho
Mwamakula namuonaga kama kitengoMwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania