Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mh Freeman Mbowe amesambaza video mitandaoni ikimuonyesha akiweka wazi kabisa ugonjwa uliomuua kaka yake Charles Mbowe, kuwa ni COVID 19, huu ndio uongozi wa kupigiwa mfano, Mh Mbowe ameamua kuweka wazi jambo hili ili kuweka ushuhuda wa uwepo wa Corona nchini Tanzania.
Mbowe sasa rasmi ni Mandela wa Tanzania, Mzee Mandela kwenye Mazishi ya mwanae hakuficha ugonjwa uliomuua kijana wake, alitangaza hadharani kwamba mwanae alikufa kwa UKIMWI.
Mbowe sasa rasmi ni Mandela wa Tanzania, Mzee Mandela kwenye Mazishi ya mwanae hakuficha ugonjwa uliomuua kijana wake, alitangaza hadharani kwamba mwanae alikufa kwa UKIMWI.