Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Jibu ni kwamba hakuna chanjo duniani ambayo imethibitika kuzuia magonjwa kwa asilimia 100 Ila 99% inazuia maambukizi hiyo 1% inakuwepo sababu ya reaction ya dawa hutegemea pia mtu na mtu.Amekuuliza chanjo ya Covid inazuia nini? Maana kama mtu kachanjwa hiyo chanjo na huo ugonjwa kapata nini faida ya hiyo chanjo?
Sasa faida yake ni kwamba chances of survival ni kubwa kushinda kifo. Achague mwenyewe chanjo ni optional kwa TZ.