Askofu Mwamakula ampongeza Freeman Mbowe kwa kutangaza hadharani kwamba Kaka yake kafa kwa Corona

Askofu Mwamakula ampongeza Freeman Mbowe kwa kutangaza hadharani kwamba Kaka yake kafa kwa Corona

Kwa hiyo kaka yake hakuchanja?
Sio kuchanja tu si unaona hapo anasema wimbi la 3 mtu haombi maji, hata huyo yeye kashtukia msiba tu wa kakayake hakujua hata Kama anaumwa yaani yaani kaanguka ghafla tu safari tayari.

Sasa Kama hilo wimbi linapukutisha watu namna hiyo najiuliza hapa Lile nyomi la kariakoo pale mbona hawapukutiki tukashudia misiba kila kona huku mitaani, shangaa wimbi la tatu linapukutisha watu kiasi hicho huku rais anaenda kuangalia mpira uwanjani watu wameshonana.

Watu wakaribu na huyo marehemu vipi wametengwa? Na vipi yeye ataendelea na zoezi la kuenda kuitisha mikutano na kuzurula ovyo au atajiweka lockdown kama kipindi kile alivyo ondoka bungeni kwenda kujiweka karantini kwa hofu ya Corona?
 
Sio kuchanja tu si unaona hapo anasema wimbi la 3 mtu haombi maji, hata huyo yeye kashtukia msiba tu wa kakayake hakujua hata Kama anaumwa yaani yaani kaanguka ghafla tu safari tayari...
umeandika vitu vingi mno ! unataka nini ?
 
Sio kuchanja tu si unaona hapo anasema wimbi la 3 mtu haombi maji, hata huyo yeye kashtukia msiba tu wa kakayake hakujua hata Kama anaumwa yaani yaani kaanguka ghafla tu safari tayari...
Corona iweke kambi kwenye Familia ya Mbowe imeanza na kaka mtu tunaomba is huge kidogo na kwa mdogo mtu tuondokewe na hili dubasha
 
Mh Freeman Mbowe amesambaza video mitandaoni ikimuonyesha akiweka wazi kabisa ugonjwa uliomuua kaka yake Charles Mbowe , kuwa ni COVID 19 , huu ndio uongozi wa kupigiwa mfano , Mh Mbowe ameamua kuweka wazi jambo hili ili kuweka ushuhuda wa uwepo wa Corona nchini Tanzania .

Mbowe sasa rasmi ni Mandela wa Tanzania , Mzee Mandela kwenye Mazishi ya mwanae hakuficha ugonjwa uliomuua kijana wake , alitangaza hadharani kwamba mwanae alikufa kwa UKIMWI .

View attachment 1846309
We jamaa unampenda sana mbowe,, au we ndo mbowe mwenyewe?
Mana hata akikwambia umpe puru bila shaka utampa kama si wewe mbowe mwenyewe.
 
Hongera sana Mh. Mbowe. Wewe ndiyo kiongozi mkweli kama Mh. Samia alivyo mkweli na muwazi. Long Live viongozi wetu wakweli na wawazi na wanaojali watanzania.
 
Nyie agents of imperialism. You will seize any chance to perform tasks for your masters. Hiyo covid 19 ni homa to mnatisha watu ili bwana zenu mabeberu wa corona watimize malengo yao.
Kufa kabisa wewe MATAGA kama Yule Mungu wenu mbishi mpaka ikamlamba Covid 19
 
Mh Freeman Mbowe amesambaza video mitandaoni ikimuonyesha akiweka wazi kabisa ugonjwa uliomuua kaka yake Charles Mbowe , kuwa ni COVID 19 , huu ndio uongozi wa kupigiwa mfano...
Hizi ni donor funded projects

Hapo Kuna kunji limeingia
 
Mh Freeman Mbowe amesambaza video mitandaoni ikimuonyesha akiweka wazi kabisa ugonjwa uliomuua kaka yake Charles Mbowe , kuwa ni COVID 19 , huu ndio uongozi wa kupigiwa mfano...
Mandela anayekimbilia Dubai

Hebu msinajisi serious African leaders na hawa wasanii waandamizi
 
Na kweli mie ni mjinga, hivyo nielewesheni hiyo chanjo kazi yake ni nini ili niutoe ujinga
Kule Iringa maboso ni mapovu yanayokuwa juu ya mbeta ya ulanzi yanaenguliwa na kutupwa.

Anyway chanjo ulizowahi kupigwa ni zipi? Hujadungwa polio?, surua? Vidonge vya goita? Mkeo au kama huna mke basi muulize mamako hakumeza chanjo kibao including vidonge vya (sulphur) kuzuia ugonjwa wa vichwa vikubwa nk.

Sasa ukiona wazungu wanataka kukuua wewe leo kisa unatumia simu walizotengeneza jiulize walishindwa wapi enzi hizo?
 
Wimbi la 3 huombi hata maji ya kunywa , unaambiwa Mbowe kashitukia taarifa ya msiba tu , angetangazia wapi ugonjwa ? tuchukue tahadhari jamani tuache ubishi
Kwa hiyo unataka kusema Marehemu hakuchukua tahadhari ndiyo maana amekufa kwa Corona!?
 
Kule Iringa maboso ni mapovu yanayokuwa juu ya mbeta ya ulanzi yanaenguliwa na kutupwa...
Amekuuliza chanjo ya Covid inazuia nini? Maana kama mtu kachanjwa hiyo chanjo na huo ugonjwa kapata nini faida ya hiyo chanjo?
 
Back
Top Bottom