Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Anayekufa kwa corona akitangazwa husababisha waliobaki kuchukua hatua.Kweli hata misiba nayo ni siasa? Kifo kipo tu corona isifanye kifo kionekane kitu cha ajabu.
Tahadhari zote zinachukuliwaSasa huyo Mbowe aache kuzunguka huko anakozunguka!
Aiseeee !Kuna mjinga mmoja alikuwa anasema hakuna corona Tanzania. Mwishoe ikampeleka...
Ujinga wa kiwango cha lami. So Mbowe anahisi kutangaza ugonjwa uliopelekea kifo cha kaka yake ni ukomavu kisiasa? Faragha ya marehemu ipo wapi? Kwa nini hakusema hayo wakati anaumwa ili watu wakae mbali na huyo kaka yake? Aliogopa nini kutangaza hadharani marehemu akiwa hai? Kwanini Mbowe alijidunga chanjo peke yake na akamuacha ndugu yake bila chanjo? Na kama alichanjwa, je tuendelee kuziamini hizo chanjo?
Wimbi la 3 huombi hata maji ya kunywa, unaambiwa Mbowe kashitukia taarifa ya msiba tu, angetangazia wapi ugonjwa? Tuchukue tahadhari jamani tuache ubishi.Ujinga wa kiwango cha lami. So Mbowe anahisi kutangaza ugonjwa uliopelekea kifo cha kaka yake ni ukomavu kisiasa? Faragha ya marehemu ipo wapi? Kwa nini hakusema hayo wakati anaumwa ili watu wakae mbali na huyo kaka yake? Aliogopa nini kutangaza hadharani marehemu akiwa hai? Kwanini Mbowe alijidunga chanjo peke yake na akamuacha ndugu yake bila chanjo? Na kama alichanjwa, je tuendelee kuziamini hizo chanjo?
Chanjo ya UKIMWI lini itakuja??Wewe ndiye mjinga unayedhani kuwa chanjo ina uwezo wa kuprotect 100%.
Na kweli mie ni mjinga, hivyo nielewesheni hiyo chanjo kazi yake ni nini ili niutoe ujinga.Wewe ndiye mjinga unayedhani kuwa chanjo ina uwezo wa kuprotect 100%.
Kwa hiyo kaka yake hakuchanja?Wimbi la 3 huombi hata maji ya kunywa , unaambiwa Mbowe kashitukia taarifa ya msiba tu , angetangazia wapi ugonjwa ? tuchukue tahadhari jamani tuache ubishi
Wabishi wakubwa Nkulunzinza na mwendazake wako wapi leo, je unayefuatia ni wewe?Nyie agents of imperialism. You will seize any chance to perform tasks for your masters. Hiyo covid 19 ni homa to mnatisha watu ili bwana zenu mabeberu wa corona watimize malengo yao.
Swali lako ni zuriKwa hiyo kaka yake hakuchanja?
Endelea kujifukiza wewe
Mkuu kwao hao mjinga maana yake ni mtu yule mwenye maoni tofauti naye.Na kweli mie ni mjinga, hivyo nielewesheni hiyo chanjo kazi yake ni nini ili niutoe ujinga
Nyie Chadema mna akina Mandela wangapi mdude Mandela Lisu Mandela na Mbowe naye ni Mandela ujinga huu sijui mnautoa wapi yaani kiukweli mwenyekiti wenu hamnazo kabisa kila kitu anataka ziwe kiki za kisiasa ujinga mtupu huyu mzee ukimwangalia kabisa yuko CacheticMh Freeman Mbowe amesambaza video mitandaoni ikimuonyesha akiweka wazi kabisa ugonjwa uliomuua kaka yake Charles Mbowe , kuwa ni COVID 19 , huu ndio uongozi wa kupigiwa mfano , Mh Mbowe ameamua kuweka wazi jambo hili ili kuweka ushuhuda wa uwepo wa Corona nchini Tanzania...