ASKOFU Mwamakula atia neno kuhusu kuchaguliwa kwa Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

Nasema HASIMU kwasababu kati ya mikoa yote ya Tanganyika nadhani ni Mkoa wa MARA tu ndio MAKABILA yake hayana maelewano toka enzi na enzi ijapo huenda usisikie wakizozana.

Tusishangae kumuona SOKWE akikaa pembeni muda mfupi tu mara baada ya match ya October mwaka huu kwani amewekwa hapo maalumu kwa ajili ya kazi hiyo mahususπŸ‘ŒπŸΏi.
 
Palihitaji zindiko na kumbukumbu ya madhabahu,apatikane mmojawapo katika wazee waanzilishi,na atoke mkoa uliobeba historia,haya mambo yako kiroho sana.Hii itasaidie kuunganisha nguvu Kizimkazi ipate kibali,nasema mambo ya rohoni na sio lazima uamini.
 
Umeongea vzr wenye akili wamekuelewa
 
Kwa jinsi FISIEM walivojizatiti pale hata akiwekwa Katoto ka form 1 hakuna shida yoyote na 25 Oct wanashinda Mchana kweupe.
Hamna analoenda kufanya jipya huyo mzee kawekwa kama Bosheni tu chama kina mifumo yake tayari.
 
Huyu bwana kutoka kuwasubiri mpaka kutoka kwenye kibanda chake mpaka huku ameshika kiuno ila masudi kipanya akili yake anaijua mwenyewe
πŸ‘ŒπŸΏπŸ’ͺπŸΏπŸšΆπŸΎπŸ™πŸΏπŸ’₯
 

nasema mambo ya rohoni na sio lazima uamini.πŸ’ͺ🏿

 
Nyerere
Mwinyi
Mkapa
Kikwete
Magufuli
Samia

Tunaongelea miaka 60+
 
Kama unadhani hili jibu lako limejitosheleza iweje askofu aliye na umbile la kibinadamu awe na wasiwasi wa kunyanyapaliwa na huyo amsemae wakati na yeye ana umbile la kibinadamu?
Siwezi kumjibia.. Mimi nimejibu kwa muktadha wangu kulingana na ulichouliza
 
Kipanya kamaanisha nini hapaView attachment 3205871
Kipanya ni Noma ! Kwenye kibanda kuna kitu kinapikwa moto ni mkali kweri kweri !
Huku jamaa na gwanda lake ameshamaliza kazi yake ya kuchimba !
Halafu pale kwenye yale mashimo mawili yaliyochimbwa kila shimo kumewekwa Cross moja !
Kisha katika zile Cross hazijaelekea upande mmoja!
Kwenye shimo moja Cross imewekwa kwa mbele ya shimo au nyuma ya shimo !
Na kwenye shimo la pili Cross imewekwa ubavuni !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…