ASKOFU Mwamakula atia neno kuhusu kuchaguliwa kwa Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

 
Dah, Sasa ndugu yetu mbona unaishia kutuambia tunachokiona hata sisi?!!!!!! Mi nilifikiri ungejikita kwenye kusuggest tafsiri yake.
 
Karibu uhudumiwe.. Kwetu mteja ni malkia na ni mfalme
Halafu ulimsikiliza Mzee Pinda alipoitwa atoe neno baada ya Wassira kuchaguliwa ??
Pamoja na maneno mazuri aliyoyatoa vikiwemo na codes ndogo ndogo ndani yake alimalizia na code moja imenifanya nifikirie sana !
Alisema hivyo ndivyo wenye Chama walivyoamua πŸ™„ na wenye Chama ndio sisi ! Akaulizia au nimekosea πŸ€£πŸ€£πŸ˜… !
Sisi tuliosomea Cuba huwa tunanasa harufu ya Codes hata kama mwenye kuhusika wala hakuwa na maana hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ !
Tatizo ni kwamba sisi wengine tumeumbwa na Suspicions mind ! πŸ€£πŸ˜„πŸ˜… !
Mutusamehe bure tu Bandugu πŸ™πŸ™πŸ™
 
Uchambuzi toka kwa askofu asiye na waumini.na kanisa lake liko kusikojulikana alijishonea nguo xa kiaskofu na kujivalisha mwenyewe
Huyo jamaa kichwa yake ilibaribika early 90s akiwa sekondari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…