Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipanya ni Noma ! Kwenye kibanda kuna kitu kinapikwa moto ni mkali kweri kweri !
Huku jamaa na gwanda lake ameshamaliza kazi yake ya kuchimba !
Halafu pale kwenye yale mashimo mawili yaliyochimbwa kila shimo kumewekwa Cross moja !
Kisha katika zile Cross hazijaelekea upande mmoja!
Kwenye shimo moja Cross imewekwa kwa mbele ya shimo au nyuma ya shimo !
Na kwenye shimo la pili Cross imewekwa ubavuni !
😳😂
Dah, Sasa ndugu yetu mbona unaishia kutuambia tunachokiona hata sisi?!!!!!! Mi nilifikiri ungejikita kwenye kusuggest tafsiri yake.Kipanya ni Noma ! Kwenye kibanda kuna kitu kinapikwa moto ni mkali kweri kweri !
Huku jamaa na gwanda lake ameshamaliza kazi yake ya kuchimba !
Halafu pale kwenye yale mashimo mawili yaliyochimbwa kila shimo kumewekwa Cross moja !
Kisha katika zile Cross hazijaelekea upande mmoja!
Kwenye shimo moja Cross imewekwa kwa mbele ya shimo au nyuma ya shimo !
Na kwenye shimo la pili Cross imewekwa ubavuni !
Halafu ulimsikiliza Mzee Pinda alipoitwa atoe neno baada ya Wassira kuchaguliwa ??Karibu uhudumiwe.. Kwetu mteja ni malkia na ni mfalme
Dah, Sasa ndugu yetu mbona unaishia kutuambia tunachokiona hata sisi?!!!!!! Mi nilifikiri ungejikita kwenye kusuggest tafsiri yake.
Kazi yetu, wasomaji, ni kuzifungua.Kipanya amefunga Code 👨💻!
CCM wameshawamaliza Mbowe na LISUKipanya kamaanisha nini hapaView attachment 3205871
Na ni kipaji kama vipaji vingine.Uzushi mwingine raha sana kuusoma
Huyo jamaa kichwa yake ilibaribika early 90s akiwa sekondariUchambuzi toka kwa askofu asiye na waumini.na kanisa lake liko kusikojulikana alijishonea nguo xa kiaskofu na kujivalisha mwenyewe