Namkubali sana tena sana huyu baba, ni Mwenzetu wa kweli. Lakini kwa Watanzania, bado tunaogopa sana kufa, and the dictators is taking advantage of this! sijui tunatokaje hapa tulipokama umemuelewa vizuri Yuko tayari hata kutembea peke yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkubali sana tena sana huyu baba, ni Mwenzetu wa kweli. Lakini kwa Watanzania, bado tunaogopa sana kufa, and the dictators is taking advantage of this! sijui tunatokaje hapa tulipokama umemuelewa vizuri Yuko tayari hata kutembea peke yake
Hakuna mwenye ubavu huo! Pia mnachodai hamkijui mnashinikizwa na wale wanaolilia nchi yetu ikumbwe na majanga! Maana wakoloni bado wanatamani nchi zetu - wanataka kututumia sisi wenyewe (Lissu) kupora!Mayila: Lakini kwa nini usiombe kibari?
Askofu Mwamakula: Huwezi kumuomba kibari mtu ambaye unataka kufanya jambo la kugusa masilahi yake akakukubalia! Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya ni mwiba kwa watawala na hivyo hawapendi hata kuvisikia! Lakini kwa raia hiyo ni haki yao na haki haiombwi!
Kwahiyo mkuu hapa tunazungumzia suala la watu kudai haki yao hivyo hata ikilazimu kupigwa ama kupigana ni sawa ili haki ipatikane.
Katatembea basis!!!!? Haka kanatafuta 'attention' ya muda tu! We jiulize, kanajiita Askofu sijui wa Afrika Mashariki, Kati, sijui Kusini na wapi. Mbona hakatangazi maandamano Uganda kumsaidia Kyagulanyi!!!!Kataanza kutembea lini "kwa hiari" hako kaaskofu?
Askofu anatafuta ulemavu wa kujitakiaASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA "MATEMBEZI YA HIYARI"
Baada ya Askofu Mwamakula kutangaza kuwa 'ataingia barabarani' kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ili kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya, watu wengi wametaka kujua zaidi kuhusiana na adhma hiyo. Ili kuwasaidia wengi, Askofu ameamua kuchapisha hapa mazungumzo baina yake na mmoja wa watu kutoka taasisi mojawapo yaliyofanyika mwanzoni mwa Mwezi Januari. Askofu ameamua kutokuliweka jina halisi la mtu huyo kwa sababu za kimaadili na kiusalama.
Mayila: Baba Askofu nataka kujua machache kuhusu maandano unayotarajia kuyaongoza hivi karibuni.
Askofu Mwamakula: Karibu! Hata hivyo siyo maandamano bali ni "Matembezi ya Hiyari"!
Mayila: Nashukuru kwa ufafanuzi wako! Je, kuna tofauti ye yote kati ya maandamano na matembezi ya hiyari?
Askofu Mwamakula: Mimi nimesukumwa kutoka ndani ya moyo wangu kutembea na kuonyesha hisia pasipo kukaa katika vikao na taasisi ye yote ile! Hakuna shinikizo lo lote la kitaasisi. Hata watu watakaoshiriki ni raia wa Tanzania watakaoamua kwa hiyari yao wenyewe pasipo mashinikizo ye yote!
Mayila: Je! Utaomba kibari kutoka Jeshi la Polisi?
Askofu Mwamakula: Hatuhitaji kuomba kibari, bali tutatoa taarifa sio tu kwa Jeshi la Polisi bali kwa umma wote wa Watanzania na dunia nzima!
Mayila: Je, Jeshi la Polisi wakikuzuia utafanyaje?
Askofu Mwamakula: Nitaingia barabarani na kuendelea na "Matembezi ya Hiyari"!
Mayila: Huoni kuwa utakuwa unahatarisha usalama na kuvuruga amani?
Askofu Mwamakula: Askofu aliyevaa majoho ya Kiaskofu na kushika Fimbo ya Uaskofu atahatarishaje usalama? Askofu atavurugaje amani wakati anaongoza matembezi ya amani?
Mayila: Jeshi la Polisi wakiamua kutumia nguvu?
Askofu Mwamakula: Ni uamuzi wao!
Mayila: Jeshi la Polisi wakiamua kukupiga na kukufyatulia risasi za moto?
Askofu Mwamakula: Hata Makaburu wa Afrika Kusini pamoja na uovu wao hawakuthubutu kumfyatulia risasi Askofu Mkuu Desmond Tutu!
Mayila: Wakikuua itakuwaje?
Askofu Mwamakula: Idd Amin alimuua Askofu Mkuu Janan Luwum kule Uganda! Lakini hakufanikiwa kuua ukweli! Wenye mamlaka nchini Tanzania wakiamua kumuua Askofu Mwamakula watakuwa wameingia katika historia ya kuua Askofu! Lakini hawataweza kuua adhma ya Watanzania ya kutaka Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya!
Mayila: Lakini kwa nini usiombe kibari?
Askofu Mwamakula: Huwezi kumuomba kibari mtu ambaye unataka kufanya jambo la kugusa masilahi yake akakukubalia! Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya ni mwiba kwa watawala na hivyo hawapendi hata kuvisikia! Lakini kwa raia hiyo ni haki yao na haki haiombwi!
Mayila: Kwa nini usingeacha vyama vya siasa kufanya?
Askofu Mwamakula: CCM hakitaki Tume Huru ya Uchaguzi na pia Katiba Mpya siyo agenda yao! Vyama vya Upinzani vimetishwa na haviruhusiwi hata kufanya mikutano ya hadhara na maandamano!
Mayila: Sasa wewe utaweza?
Askofu Mwamakula: Ukiona Askofu ameamua kuingia barabarani kwa ajili ya kutetea haki basi ujue hali ni mbaya zaidi! Mimi ni ishara tu! Nyuma ya ishara hiyo kuna umma wa Watanzania! Watanzania wote kwa umoja wao wataweza!
Mayila: Utafanyaje?
Askofu Mwamakula: Kazi yangu ni kuwatia moyo watu walio kata tamaa na kuwaunganisha makundi ya watu walio tayari! Nitawaambia wawe nyuma yangu mimi nitakuwa mbele yao nikiwa nimevalia mavazi ya Kiaskofu na wao watanifuata nyuma!
Mayila: Watu wasipojitokeza kwa hofu utafanyaje?
Askofu Mwamakula: Tuna imani kuwa watu watajitokeza kwa wingi sana! Lakini pia wapo watakaoshindwa kujitokeza kwa sababu ya hofu au hata dharau! Kwa vyo vyote vile mimi nitaendelea kwa kuwa nitakuwa natimiza wajibu wangu! Hata wakati wa Nuhu, watu hawakujitokeza kuchonga safina kwa kuwa walikuwa wanamdharau Nuhu. Lakini kutokujitokeza kwao na dharau zao dhidi ya Nuhu havikuweza kumzuia Nuhu asitimize wajibu wake!
Mayila: Je, huoni kuwa utaonekana kama utakuwa unapingana na Serikali?
Askofu Mwamakula: Kuipinga Serikali siyo kosa kisheria na wala siyo dhambi kama kuna hoja inayofichua uovu, ukengeufu na upotofu wa Serikali. Kama Serikali haitaki kuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi itakayotenda hai kwa wote na kama Serikali haitaki kuwa na Katiba iliyokubaliwa na wote isiyotoa mianya ya kufinywa kwa haki, basi itakuwa imekengeuka na kupotoka na inakuwa ni halali kuipinga serikali ya namna hiyo!
Hata hili suala la katiba ni sehemu ya maendeleo ila tatizo wengi wenye kuitaka na ni kwamba huitaka ili kuwakomoa watu fulani na kuwadhibiti hilo ndio lengo lao kubwa na wasioitaka hiyo katiba ni kwa sababu ya kuepuka hayo mambo na ndio maana hili suala lilikwama.Hakuna mwenye ubavu huo! Pia mnachodai hamkijui mnashinikizwa na wale wanaolilia nchi yetu ikumbwe na majanga! Maana wakoloni bado wanatamani nchi zetu - wanataka kututumia sisi wenyewe (Lissu) kupora!
Hamna cha katiba mpya mpaka tujiletee maendeleo. Hata ikibidi kidikteta - maendeleo kwanza, na wao (wazungu, wachina) walifanya hivyo mwanzo na kukataa kubughudhiwa. Sasa wameendelea, hawataki sisi kufuata nyayo zao. Maendeleo kwanza halafu mengine baadae.
Matembezi ya hiari yanaanzia wapi, saa ngapi mpaka wapi?Mayila: Je! Utaomba kibari kutoka Jeshi la Polisi?
Askofu Mwamakula: Hatuhitaji kuomba kibari, bali tutatoa taarifa sio tu kwa Jeshi la Polisi bali kwa umma wote wa Watanzania na dunia nzima!
Dah.... huyu baba askofu Mungu amtunze na kumbariki kwa mapana na marefu.ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA "MATEMBEZI YA HIYARI"
Baada ya Askofu Mwamakula kutangaza kuwa 'ataingia barabarani' kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ili kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya, watu wengi wametaka kujua zaidi kuhusiana na adhma hiyo. Ili kuwasaidia wengi, Askofu ameamua kuchapisha hapa mazungumzo baina yake na mmoja wa watu kutoka taasisi mojawapo yaliyofanyika mwanzoni mwa Mwezi Januari. Askofu ameamua kutokuliweka jina halisi la mtu huyo kwa sababu za kimaadili na kiusalama.
Mayila: Baba Askofu nataka kujua machache kuhusu maandano unayotarajia kuyaongoza hivi karibuni.
Askofu Mwamakula: Karibu! Hata hivyo siyo maandamano bali ni "Matembezi ya Hiyari"!
Mayila: Nashukuru kwa ufafanuzi wako! Je, kuna tofauti ye yote kati ya maandamano na matembezi ya hiyari?
Askofu Mwamakula: Mimi nimesukumwa kutoka ndani ya moyo wangu kutembea na kuonyesha hisia pasipo kukaa katika vikao na taasisi ye yote ile! Hakuna shinikizo lo lote la kitaasisi. Hata watu watakaoshiriki ni raia wa Tanzania watakaoamua kwa hiyari yao wenyewe pasipo mashinikizo ye yote!
Mayila: Je! Utaomba kibari kutoka Jeshi la Polisi?
Askofu Mwamakula: Hatuhitaji kuomba kibari, bali tutatoa taarifa sio tu kwa Jeshi la Polisi bali kwa umma wote wa Watanzania na dunia nzima!
Mayila: Je, Jeshi la Polisi wakikuzuia utafanyaje?
Askofu Mwamakula: Nitaingia barabarani na kuendelea na "Matembezi ya Hiyari"!
Mayila: Huoni kuwa utakuwa unahatarisha usalama na kuvuruga amani?
Askofu Mwamakula: Askofu aliyevaa majoho ya Kiaskofu na kushika Fimbo ya Uaskofu atahatarishaje usalama? Askofu atavurugaje amani wakati anaongoza matembezi ya amani?
Mayila: Jeshi la Polisi wakiamua kutumia nguvu?
Askofu Mwamakula: Ni uamuzi wao!
Mayila: Jeshi la Polisi wakiamua kukupiga na kukufyatulia risasi za moto?
Askofu Mwamakula: Hata Makaburu wa Afrika Kusini pamoja na uovu wao hawakuthubutu kumfyatulia risasi Askofu Mkuu Desmond Tutu!
Mayila: Wakikuua itakuwaje?
Askofu Mwamakula: Idd Amin alimuua Askofu Mkuu Janan Luwum kule Uganda! Lakini hakufanikiwa kuua ukweli! Wenye mamlaka nchini Tanzania wakiamua kumuua Askofu Mwamakula watakuwa wameingia katika historia ya kuua Askofu! Lakini hawataweza kuua adhma ya Watanzania ya kutaka Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya!
Mayila: Lakini kwa nini usiombe kibari?
Askofu Mwamakula: Huwezi kumuomba kibari mtu ambaye unataka kufanya jambo la kugusa masilahi yake akakukubalia! Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya ni mwiba kwa watawala na hivyo hawapendi hata kuvisikia! Lakini kwa raia hiyo ni haki yao na haki haiombwi!
Mayila: Kwa nini usingeacha vyama vya siasa kufanya?
Askofu Mwamakula: CCM hakitaki Tume Huru ya Uchaguzi na pia Katiba Mpya siyo agenda yao! Vyama vya Upinzani vimetishwa na haviruhusiwi hata kufanya mikutano ya hadhara na maandamano!
Mayila: Sasa wewe utaweza?
Askofu Mwamakula: Ukiona Askofu ameamua kuingia barabarani kwa ajili ya kutetea haki basi ujue hali ni mbaya zaidi! Mimi ni ishara tu! Nyuma ya ishara hiyo kuna umma wa Watanzania! Watanzania wote kwa umoja wao wataweza!
Mayila: Utafanyaje?
Askofu Mwamakula: Kazi yangu ni kuwatia moyo watu walio kata tamaa na kuwaunganisha makundi ya watu walio tayari! Nitawaambia wawe nyuma yangu mimi nitakuwa mbele yao nikiwa nimevalia mavazi ya Kiaskofu na wao watanifuata nyuma!
Mayila: Watu wasipojitokeza kwa hofu utafanyaje?
Askofu Mwamakula: Tuna imani kuwa watu watajitokeza kwa wingi sana! Lakini pia wapo watakaoshindwa kujitokeza kwa sababu ya hofu au hata dharau! Kwa vyo vyote vile mimi nitaendelea kwa kuwa nitakuwa natimiza wajibu wangu! Hata wakati wa Nuhu, watu hawakujitokeza kuchonga safina kwa kuwa walikuwa wanamdharau Nuhu. Lakini kutokujitokeza kwao na dharau zao dhidi ya Nuhu havikuweza kumzuia Nuhu asitimize wajibu wake!
Mayila: Je, huoni kuwa utaonekana kama utakuwa unapingana na Serikali?
Askofu Mwamakula: Kuipinga Serikali siyo kosa kisheria na wala siyo dhambi kama kuna hoja inayofichua uovu, ukengeufu na upotofu wa Serikali. Kama Serikali haitaki kuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi itakayotenda hai kwa wote na kama Serikali haitaki kuwa na Katiba iliyokubaliwa na wote isiyotoa mianya ya kufinywa kwa haki, basi itakuwa imekengeuka na kupotoka na inakuwa ni halali kuipinga serikali ya namna hiyo!
Hakuna mwenye ubavu huo! Pia mnachodai hamkijui mnashinikizwa na wale wanaolilia nchi yetu ikumbwe na majanga! Maana wakoloni bado wanatamani nchi zetu - wanataka kututumia sisi wenyewe (Lissu) kupora!
Hamna cha katiba mpya mpaka tujiletee maendeleo. Hata ikibidi kidikteta - maendeleo kwanza, na wao (wazungu, wachina) walifanya hivyo mwanzo na kukataa kubughudhiwa. Sasa wameendelea, hawataki sisi kufuata nyayo zao. Maendeleo kwanza halafu mengine baadae.
ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA "MATEMBEZI YA HIYARI"
Baada ya Askofu Mwamakula kutangaza kuwa 'ataingia barabarani' kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ili kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya, watu wengi wametaka kujua zaidi kuhusiana na adhma hiyo. Ili kuwasaidia wengi, Askofu ameamua kuchapisha hapa mazungumzo baina yake na mmoja wa watu kutoka taasisi mojawapo yaliyofanyika mwanzoni mwa Mwezi Januari. Askofu ameamua kutokuliweka jina halisi la mtu huyo kwa sababu za kimaadili na kiusalama.
Mayila: Baba Askofu nataka kujua machache kuhusu maandano unayotarajia kuyaongoza hivi karibuni.
Askofu Mwamakula: Karibu! Hata hivyo siyo maandamano bali ni "Matembezi ya Hiyari"!
Mayila: Nashukuru kwa ufafanuzi wako! Je, kuna tofauti ye yote kati ya maandamano na matembezi ya hiyari?
Askofu Mwamakula: Mimi nimesukumwa kutoka ndani ya moyo wangu kutembea na kuonyesha hisia pasipo kukaa katika vikao na taasisi ye yote ile! Hakuna shinikizo lo lote la kitaasisi. Hata watu watakaoshiriki ni raia wa Tanzania watakaoamua kwa hiyari yao wenyewe pasipo mashinikizo ye yote!
Mayila: Je! Utaomba kibari kutoka Jeshi la Polisi?
Askofu Mwamakula: Hatuhitaji kuomba kibari, bali tutatoa taarifa sio tu kwa Jeshi la Polisi bali kwa umma wote wa Watanzania na dunia nzima!
Mayila: Je, Jeshi la Polisi wakikuzuia utafanyaje?
Askofu Mwamakula: Nitaingia barabarani na kuendelea na "Matembezi ya Hiyari"!
Mayila: Huoni kuwa utakuwa unahatarisha usalama na kuvuruga amani?
Askofu Mwamakula: Askofu aliyevaa majoho ya Kiaskofu na kushika Fimbo ya Uaskofu atahatarishaje usalama? Askofu atavurugaje amani wakati anaongoza matembezi ya amani?
Mayila: Jeshi la Polisi wakiamua kutumia nguvu?
Askofu Mwamakula: Ni uamuzi wao!
Mayila: Jeshi la Polisi wakiamua kukupiga na kukufyatulia risasi za moto?
Askofu Mwamakula: Hata Makaburu wa Afrika Kusini pamoja na uovu wao hawakuthubutu kumfyatulia risasi Askofu Mkuu Desmond Tutu!
Mayila: Wakikuua itakuwaje?
Askofu Mwamakula: Idd Amin alimuua Askofu Mkuu Janan Luwum kule Uganda! Lakini hakufanikiwa kuua ukweli! Wenye mamlaka nchini Tanzania wakiamua kumuua Askofu Mwamakula watakuwa wameingia katika historia ya kuua Askofu! Lakini hawataweza kuua adhma ya Watanzania ya kutaka Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya!
Mayila: Lakini kwa nini usiombe kibari?
Askofu Mwamakula: Huwezi kumuomba kibari mtu ambaye unataka kufanya jambo la kugusa masilahi yake akakukubalia! Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya ni mwiba kwa watawala na hivyo hawapendi hata kuvisikia! Lakini kwa raia hiyo ni haki yao na haki haiombwi!
Mayila: Kwa nini usingeacha vyama vya siasa kufanya?
Askofu Mwamakula: CCM hakitaki Tume Huru ya Uchaguzi na pia Katiba Mpya siyo agenda yao! Vyama vya Upinzani vimetishwa na haviruhusiwi hata kufanya mikutano ya hadhara na maandamano!
Mayila: Sasa wewe utaweza?
Askofu Mwamakula: Ukiona Askofu ameamua kuingia barabarani kwa ajili ya kutetea haki basi ujue hali ni mbaya zaidi! Mimi ni ishara tu! Nyuma ya ishara hiyo kuna umma wa Watanzania! Watanzania wote kwa umoja wao wataweza!
Mayila: Utafanyaje?
Askofu Mwamakula: Kazi yangu ni kuwatia moyo watu walio kata tamaa na kuwaunganisha makundi ya watu walio tayari! Nitawaambia wawe nyuma yangu mimi nitakuwa mbele yao nikiwa nimevalia mavazi ya Kiaskofu na wao watanifuata nyuma!
Mayila: Watu wasipojitokeza kwa hofu utafanyaje?
Askofu Mwamakula: Tuna imani kuwa watu watajitokeza kwa wingi sana! Lakini pia wapo watakaoshindwa kujitokeza kwa sababu ya hofu au hata dharau! Kwa vyo vyote vile mimi nitaendelea kwa kuwa nitakuwa natimiza wajibu wangu! Hata wakati wa Nuhu, watu hawakujitokeza kuchonga safina kwa kuwa walikuwa wanamdharau Nuhu. Lakini kutokujitokeza kwao na dharau zao dhidi ya Nuhu havikuweza kumzuia Nuhu asitimize wajibu wake!
Mayila: Je, huoni kuwa utaonekana kama utakuwa unapingana na Serikali?
Askofu Mwamakula: Kuipinga Serikali siyo kosa kisheria na wala siyo dhambi kama kuna hoja inayofichua uovu, ukengeufu na upotofu wa Serikali. Kama Serikali haitaki kuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi itakayotenda hai kwa wote na kama Serikali haitaki kuwa na Katiba iliyokubaliwa na wote isiyotoa mianya ya kufinywa kwa haki, basi itakuwa imekengeuka na kupotoka na inakuwa ni halali kuipinga serikali ya namna hiyo!
Kama kakamatwa aagize waumini wake waingie barabarani.Aisee...huyu Jamaa ni Mwamba kwelikweli...
Bila shaka hili ndo limefanya akamatwe..
Na covid hiiKama kakamatwa aagize waumini wake waingie barabarani.